WANAUME KUWENI MAKINI NA WANAWAKE WAPENDA TAWILE

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
127
231
AINA TISA (09) ZA LIMBWATA ANALOTUMIA MWANAMKE KUMLOGA MWANAUME

Mwanamke ndio binadamu wa kwanza kabisa kuongea na Shetani face to face na hatujui waliongea mambo gani mengine tofauti na ile ishu ya tunda la mti wa katikati ya bustani. Hadi leo hii mwanamke bado ana urafiki wa karibu zaidi na Shetani kuliko hata mwanaume. Sasa mganga wenu amenambia njia 8 mnazopenda kutumia ili kutuloga, na amenipa kinga na maarifa ya kuwakwepa;

1. SHAHAWA/MBEGU ZA KIUME:

Mwanamke anatakiwa apeleke shahawa/mbegu za kiume kwa mtaalamu wake ili shahawa/manii hizo zifanyiwe dawa ya kumshika mwanaume kisawasawa. Njia rahisi anayotumia kuzipeleka shahawa/manii hizo ni kupitia kitambaa au nguo ya ndani itakayotumika kufutia shahawa wakati wa tendo la ngono. Kitambaa hicho kilichotumika kufutia shahawa/manii ndio kitatengeneza password za kumtia Lock mwanaume ili awe vile mwanamke anavyotaka.

2. KINYAMA:

Katika hili, kipande kidogo cha nyama yeyote ile ya Size ya “mshikaki” huwekwa ndani ya uke wa mwanamke kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mtaalam husika. Baadae kinyama hiki hutolewa ukeni na kisha huchanganywa na dawa fulani na kisha hupikwa kwenye chakula. Chakula kitakachochanganywa na mnofu huu kinatakiwa kuliwa na mwanaume husika ili kumtoa password zake zote za ufahamu. Akila tu chakula hicho basi anapoteza akili zake za ubishi, kiburi, ubabe, ubahili na yale yote aliyoomba kwa mganga yamtokee mpenzi/mume wake.

3. MAJI YA MCHELE:

Maji ya kawaida hupelekwa kwa mtaalamu kwa ajili ya kuyatengeneza na kisha maji hayo hurudishwa nyumbani. Mwanamke muhusika huyatumia maji hayo ya dawa kuoshea uke wake na yale machafu yanayotiririka hukingwa na kisha hutumika kuoshea mchele ama hata kupikia kabisa! Chakula kilichopikiwa maji machafu yaliyouosha uke wake, naskia huwaga ni kitamu mno. Kama ni mama ntilie basi huwezi kuacha kula kwake hata mazingira ya biashara yawe machafu vipi. Aliekupikia chakula atatimiziwa mahitaji yake yote akiomba, maana kile chakula kinatoa password zote za ubishi, ubahili nk.

4. KISOMO:

Njia hii haisemwi sana, ni kama siri kubwa. Huwa haijulikani hasa ni aina gani ya “kisomo” hufanyika lakini wateja na wafuasi wa limbwata la aina hii wanakiri kuwa mwanaume aliesomewa kisomo huwa ni zaidi ya kondoo, kwa maana ya kuwa maisha yake yote yaliyobaki yanakuwa ni yale ya “ndio mke wangu” kwa mwanamke aliemtengeneza. Waliowahi kutumia njia hii wanasema sio nzuri sana kwa vile fundi mwingine yoyote anaweza akafanya kisomo kinyume ili kutoa password za ubishi, ubahili nk kwa mwanaume.

5. KIFARANGA:

Hapa mwanamke mhitaji huagizwa na fundi kupeleka kifaranga, na mara nyingi huwa ni kifaranga cha kuku. Fundi humfanyia madawa kifaranga huyo katika karakana yake na kisha huihamishia nafsi ya mlengwa (mwanaume) kwenye kifaranga hicho. Kifaranga hubaki kwa mganga maisha yake yote. Mateso atakayopewa kifaranga huyo ndio ambavyo mwanaume atajihisi huko aliko. Namna fundi anavyodili na kifaranga hicho ndivyo maisha ya mwanaume yatakavyokuwa. Njia hii haipendwi sana na wanawake wenye chembe za huruma kwa kuwa ina changamoto moja kubwa; usalama na uhai wa kifaranga hicho huwa ni tatizo. Kifaranga kikiumia, kikikonda, kikifa basi huwa hivyohivyo kwa mwanaume muhusika.

6. JINA KUNING’INIZWA JUU YA MTI:

Njia hii inafanana na kisomo, tofauti ni kwamba majina halisi ya mwanaume huandikwa kwenye karatasi na kisha fundi hunuia maneno fulani na kisha karatasi iliyoandikwa majina ya mwanaume mlengwa huenda kuning’inizwa kwa kufungwa katika moja ya miti mirefu ili karatasi iwe inapepea kama bendera. Sharti kuu; mti huo uwe mbali na wanapoishi wapenzi hao ama wanandoa hao, wakati mwingine inahusisha mkoa mmoja hadi mwingine!
Wanasema kuwa kama hakuna upepo, mwanaume huwa kawaida, yaani huwa kwenye akili yake ya kawaida. Upepo ukivuma kidogo tu, mwanaume huyu akili yake huruka ghafla na huanza kumuwaza mwanamke aliemtengeneza! Ili mwanaume apone kutoka katika limbwata hili, lazima huu mti utafutwe au kikaratasi kichanwe, hiyo ndio pona ya mwanamme!

7. KABURI LA MTOTO:

Mwanamke hupeleka majina halisi ya mwanaume kwa fundi wake. Fundi huandika majina hayo kwenye karatasi na kisha hunuia maneno fulani na kisha huiwekea madawa fulani karatasi hiyo. Mwanamke anatakiwa akaifukie karatasi na madawa hayo kwenye kaburi la mtoto mchanga. Vikifukiwa tu, password za ubishi wa mwanaume, ubahili na kiburi huachia. Sharti kuu ni kwamba kaburi lililotumika kumtengeneza mwanaume liwe maeneo ya mbali sana. Hapa mwanaume mwenzangu huponi mpaka kaburi lipatikane na kazi ya kukufungua katika kifungo hiki ifanyikie hapo kaburini!

8. UNYAYO, KUCHA AMA NYWELE:

Mchanga wa unyayo, nywele za sehemu za siri, nguo (hasa nguo za ndani) na kucha za mwanaume huweza kutumika vizuri sana kumloga mlengwa ili awe vile mwanamke anataka awe. Changamoto kubwa ni kwamba mganga yeyote yule anaweza kutoa Lock aliyowekewa mwanaume husika bila kutumia nguvu nyingi.

9. KUTUMIA NGUO YA NDANI KAMA KICHUJIO

Hii pia ni njia mojawapo ya limbwata inayotumiwa na baadhi ya wanawake. Njia hii humfanya mwanamke kutumia nguo yake ya ndani (chupi) kama KICHUJIO cha kuchuja kinywaji anachotaka kumpa mumewe. Mwanamke huvua nguo yake hiyo hadi katikati ya miguu yake chini ya magoti, kisha anaweka dawa aliyopewa na mganga wake juu ya hiyo nguo (chupi) kisha huweka kikombe au glasi chini yake na kumimina kinywa kupitia juu ya nguo na kufika kwenye kikombe au glasi.

WANAUME WENZANGU, NAOMBA TUWE MAKINI SANA
 
Hakuna limbwata, limbwata ni wewe mwenyewe tu ukijlengesha unalengeshwa tu
 
Back
Top Bottom