Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 548
- 781
WanaJF hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanatongoza sana?Watu wanatongoza kama wanalipwa?Nini kimetokea mbona haya mambo hayakuwepo zamani?Yani sasa hivi sio mke wa mtu sio mtoto watu wanaomba kuna nini?Na hii imewakumba wanaume wote hadi wazee nao siku hizi wana hamu hatari mpaka aibu yapi yamewasibu au vyakula?Yani mtu hadi unaogopa Mkeo mtaani katongozwa na wanaume asilimia 90,kazini hivyohivyo,Kwenye nyumba za ibada watu wanaenda kutafuta wa kutongoza si balaa hili?Nini hii jamani!!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums