Wanaume katili kama hitler

MWANAUME KATARI , JAMII YA AKINA HITLLER
unajua ilivyongumu kuishi na mwanaume mwenye mtazamo kwamba kila kitu unafanya fanya kama ninavyokuelekeza au in my way na anaamini huo ndio ushirikiana wa wanandoa.
Ni kama anajitahidi kufidia yale mama yake alikuwa anamfanyia na ni kweli kwake mwanamke ni kifaa fulani si mtu, si kiumbe sibinadamu

mkuu diddy hizi pumba huwa unazitoa wapi ati?
 
PDidy must be on cracks... huwa sielewi flow ya taarifa zake
 
kuna watu wameshauri apewe jukwwaa lake maalum<br />
kwani yuko more usefull.wewe hujaiona hiyo thread?
Thread zake zinaelimisha sema nae amezidi bhana kila sekunde anatoa thread mpk zinaboa ......kama muvi z kibongo!! kila cku muvi mpya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom