Wanaume: Je unaweza kuruhusu mkeo kwenda kumuona daktari wa magonjwa ya kike ambaye ni rafiki yako?

Ila kumvulia chupi guest ni sawa tu?
Usikute wewe unayecommenta hapa ni Jackline Wolper umeliwa na Diamond kama haitoshi ukakipanulia na kile kitoto Harmonizer halafu huku JF mnijafanya wastarabu pumbavu kabisa.
Duuuhh
 
View attachment 602491

Inatokea mkeo au mpenzi wako anasumbuliwa na maradhi ambayo anatakiwa kumuona mtaalamu wa maradhi ya kike. Halafu kwa bahati nzuri unaye rafiki yako ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo na anafanya kazi kwenye hospitali kubwa ya serikali. Je unaweza kuruhusu mkeo kwenda kumuona rafiki yako huyo daktari wa magonjwa ya kike kwa ajili ya vipimo na matibabu?
Kwani Hospitali za private hakuna,hakuna hiyo kitu mkuu,sio kirahisi hivyo,ikifikia sasa nimuone yeye tutakuwa tumesha hangaika sana,dah muone halafu anavyoangalia kwa uchu..
 
Kwani Hospitali za private hakuna,hakuna hiyo kitu mkuu,sio kirahisi hivyo,ikifikia sasa nimuone yeye tutakuwa tumesha hangaika sana,dah muone halafu anavyoangalia kwa uchu..
Hahahah hhaha eti kw uchu
 
Watu kama wewe mtaani mkeo analiwa hadi na bodaboda ila hapa JF unaleta ushabiki maandazi tu.
Wewe mkeo au demu wako atakua ameliwa siku si nyingi ndo maana una hasira na watu. Kwa hyo unataka tuseme unachotaka wewe?? Umeniattack na comment yangu nikajua umevurugwa tuu. Hee nashangaa kila anaepinga una mletea zengwe. Pambana na hali yako usitulazimishe kuamini unachoamini
 
Wanawake wanamatatizo sana yaan hyo picha uliyoiambatanisha imenisisimua naona km mkewang ndio anafanyiwa hivyo daah
 
Yaan mkewangu akachezewe K na rafiki yangu hata kidogo
Amevaa gloves anachomeka vidole viwili anavikalisha humo weeee, huku amefumba macho kihisia na wyf nae analalamika kwa mlio Fulani amazing mzee baba lazima useme vaa haraka tuondoke, madokta wana kazi sana poleni tena na tena kuna mawindo mengine si rahisi likupite iviv
 
yaani nimpendae afe kwa ajili ya kuogopa rafiki yangu asichungulie papuchi yake, kwani ataondoka nayo
 
Amevaa gloves anachomeka vidole viwili anavikalisha humo weeee, huku amefumba macho kihisia na wyf nae analalamika kwa mlio Fulani amazing mzee baba lazima useme vaa haraka tuondoke, madokta wana kazi sana poleni tena na tena kuna mawindo mengine si rahisi likupite iviv
Daah daah daah unanitia machungu kapeace. Nasikia hata ukitaka kuangaliwa kizazi unafanywa hivyo aisee hapana kabisa ntatafuta Dokta wa kike kokote alipo Duniani ikitokea hali hiyo
 
Daah daah daah unanitia machungu kapeace. Nasikia hata ukitaka kuangaliwa kizazi unafanywa hivyo aisee hapana kabisa ntatafuta Dokta wa kike kokote alipo Duniani ikitokea hali hiyo
Nawatizama tu nilipimwa kansa ya kizazi na kuwekewa lupu, na dokta Fulani Halafu baada ya km wiki kaja home kumbe ni rafiki wa mume hapo chacha
 
Sheria ya kitabibu hairuhusu kufanya theraupetic relationship na watu mnaofahamia sema sie tunalazimisha tu. Ila sio utaratibu
 
Back
Top Bottom