Wanaume: Je mnakipa tafsiri gani kitendo cha mwanamke kukubali kujamiiana mapema...?

Hili ni jambo complex kiasi flani, wakati flani inawezekana ikawa ni kupenda kwa haraka zaidi kwani a person's heart can blind his/her brains hata asifikirie kuhusu unaoweza kuwa mtazamo juu yake, na vilevile mwingine anaweza kufanya kwa kulingana na matakwa ya mwanaume, pia tukumbuke kuwa background ya msichana pia inaweza kuchangia katika maamuzi yake
 
Lol (best umeshaona kile kipicha kinasema LOL ni satanic?).

Na kweli, afu unaweza kukuta ni mwanamke mwenye misimamo. Wenzio wanakushangaa ulimpataje wakati wewe unajishangaa mbona imekuwa rahisi sana. Ati kupanga mistari, kumbe kazi eeh?

...Unahitaji kushika mkono tu wala huna haja ya kubwabwaja kuanza kupanga mistari ya mtongozo lol!

Last edited by a moderator:
Best ulichosema ni kweli tupu. Hii ipo sana kwamba Bi dada ni mwenye msimamo katika haya mambo ya kunanino lakini alikuwa kishamzimikia njemba siku nyingi na labda hata kufuatilia nyendo zake ili kujua ni mtu wa namna gani. Akiridhika na aliyofahamu basi anajilengesha tu.

Lol (best umeshaona kile kipicha kinasema LOL ni satanic?).

Na kweli, afu unaweza kukuta ni mwanamke mwenye misimamo. Wenzio wanakushangaa ulimpataje wakati wewe unajishangaa mbona imekuwa rahisi sana. Ati kupanga mistari, kumbe kazi eeh?
 
Lol (best umeshaona kile kipicha kinasema LOL ni satanic?).

Na kweli, afu unaweza kukuta ni mwanamke mwenye misimamo. Wenzio wanakushangaa ulimpataje wakati wewe unajishangaa mbona imekuwa rahisi sana. Ati kupanga mistari, kumbe kazi eeh?
Tena hao hanaojiita wana misimamo ndo rahisi kabisa. Ukutane na mdada anaogopwa na kila mwanaume, ukijitosa tu unang'oa mzigo maana na yeye anakuwa ana hamu kwa vile hafiatwi na yeyote
 
Kuna mdada mmoja hapa jamvini alianzisha thread yake kuomba ushauri wa issue hii. Aliandika kwamba yeye si bikira lakini hakutaka kumpa jamaa kwa hilo la kutaka kutoonekana ni malaya. Njemba ikaendelea kuomba kila mara na bi dada akashikilia msimamo wake basi njemba ikafikia kutishia kwamba kama haipewi nonino basi mapenzi yao ndiyo yangefikia tamati, ndipo yule dada akaja hapa kuomba ushauri je ampe au asimpe? Na yeye alidai alikuwa anampenda sana na yeye alikuwa anaamini jamaa anampenda (sijui yule binti baada ya kupata ushauri hapa jamvini aliamua nini). Hii issue ni ngumu aisee!!!....You're damned if you do, and you're damned if you don't!!!

kweli uanamke kazi
 
Mimi namchukulia mwanamke wa hivyo kwamba amenipenda na ni muelewa na anajua wanaume tulio wengi tunataka nini. Ishu ya kwamba ni Malaya au siyo malaya nadhani havina uhusiano wa moja kwa moja hapo kwasababu kuna wanawake wengi ambao hawajatulia na mwanamme mmoja na wanakuwa wapiga karenda wabaya mno.
 
sio vizuri wote sio waaminifu na hiyo ndo picha halisi ya ndoa yenu kama mtaoana.kama mmeshindwa kujizuia basi hamtaweza kuwa waaminifu hata ktk ndoa yenu.
 
Hii tabia haijaanza leo,alianza adam kutupa lawama kwa hawa,so ni ishu ya kihistoria na kamwe haliwezi kubadilika...na kwa kulitambua hilo iwnt waste ma energy in ths kind of sred....
...Kweli kazi,
Nikijamiiana nae mapema naonekana Malay.a
Nikisema nimvutie muda utasikia oh...unaringia nini,sura yenyewe mbaya,shape ya hovyo.
Ina maana wakati unanifata hukuviona vyote hvo.
Kusema kweli Wanaume Mnakera.
 
Kuna mdada mmoja hapa jamvini alianzisha thread yake kuomba ushauri wa issue hii. Aliandika kwamba yeye si bikira lakini hakutaka kumpa jamaa kwa hilo la kutaka kutoonekana ni malaya. Njemba ikaendelea kuomba kila mara na bi dada akashikilia msimamo wake basi njemba ikafikia kutishia kwamba kama haipewi nonino basi mapenzi yao ndiyo yangefikia tamati, ndipo yule dada akaja hapa kuomba ushauri je ampe au asimpe? Na yeye alidai alikuwa anampenda sana na yeye alikuwa anaamini jamaa anampenda (sijui yule binti baada ya kupata ushauri hapa jamvini aliamua nini). Hii issue ni ngumu aisee!!!....You're damned if you do, and you're damned if you don't!!!

haya sasa unaona BAK, yaani wanawake tuna wakati mgumu sana.........
 
Last edited by a moderator:
...Kweli kazi,
Nikijamiiana nae mapema naonekana Malay.a
Nikisema nimvutie muda utasikia oh...unaringia nini,sura yenyewe mbaya,shape ya hovyo.
Ina maana wakati unanifata hukuviona vyote hvo.
Kusema kweli Wanaume Mnakera.

inaudhi sana i see......

Sijui tuhamie kwenye u-celibacy kama kongosho?????
 
Kuna mdada mmoja hapa jamvini alianzisha thread yake kuomba ushauri wa issue hii. Aliandika kwamba yeye si bikira lakini hakutaka kumpa jamaa kwa hilo la kutaka kutoonekana ni malaya. Njemba ikaendelea kuomba kila mara na bi dada akashikilia msimamo wake basi njemba ikafikia kutishia kwamba kama haipewi nonino basi mapenzi yao ndiyo yangefikia tamati, ndipo yule dada akaja hapa kuomba ushauri je ampe au asimpe? Na yeye alidai alikuwa anampenda sana na yeye alikuwa anaamini jamaa anampenda (sijui yule binti baada ya kupata ushauri hapa jamvini aliamua nini). Hii issue ni ngumu aisee!!!....You're damned if you do, and you're damned if you don't!!!

Ni ngumu aisee,

Maana hata hili neno la kuwadhalilisha wanawake kuwa ni maharage ya Mbeya maji mara moja pale wanapokubali sex muda mfupi baada ya kujuana limewafanya wanawake wakose uhuru na maamuzi kuhusu miili yao.

Ni kweli kwamba mpaka mwanamke anakubali kujaamiiana na mwanaume alikwishafanya maamuzi mapema, inawezekana ndoto zake za mwanaume amtakaye zimetimia na baada ya kukutana akawa amempenda mwanaume mara moja kutokana na kuridhika na viwango alivyovitaka, sasa iweje ageuke kuwa malaya au maharage ya Mbeya..?

Mtu yeyote anapoomba kitu matarajio yake ni kupewa, sasa ukipewa shida ukizungushwa shida, sasa wanawake watuelewe vipi?
 
Back
Top Bottom