chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,682
- 22,685
Wnawake Wengi Wamekuwa Na Mtizamo Hasi Kwamba Suala La Hamu Ya Kufanya Mapenzi Lipo Kwa Mwanaume Yeye Mwanamke Anabaki Kuwa Mshirikishwa Tu Ili Kumridhisha Mwanaume!
Hii Hulka Inapelekea Wanawake Wengi Kuona Suala Hili Kama Mtaji Kwao, Wengine Wakitaka Kufanyiwa Mambo Makubwa Kama Kujengewa Nyumba, Wapewe Hela Ndiyo Watoe Penzi!
Sasa Kwa Wale Wanaume Wenzangu Kama Mimi Tusiopendezwa Na Tabia Hizi Tuanzishe Mgomo Wa Kutoshiriki Mapenzi Mpaka Hapo Hawa Wanawake Watakapobadilisha Mitazamo Yao Kwamba Suala La Mapenzi Ni La Kufurahiana Kwa Wote Mwanamke Na Mwanaume Na Siyo Kwamba Mwanaume Ndiyo Mwenye Uhitaji Zaidi Kiasi Cha Kufikia Kumnyanyasa,.
Kwa Wale Mtakaoniunga Mkono Basi Tuwasiliane Tujue Mgomo Unaanza Lini!!
Wanaume Tusiwe Goigoi Tena Katika Suala La Mapenzi,. Tuwe Na Msimamo Sasa!!
Nawasilisha,..