Wanaume huwa mnahitaji nini?

nakushauri usiyageuze mapenzi kama hitaji la msingi. una mambo mengi ya kufanya. wanaume tunahitaji ngono tu. mengine ni tu kubalance biashara. mwanaume yoyote ukimpenda sana umempoteza. mwanamme anapenda sana mwanamke asiye wa uhakika yan akae katika ushindan. sasa k ya uhakika itapata wap utamu! hata birian ikipikwa kila siku wanafamilia wataweka mgomo! bas jitahid kuwa mbunifu na asiyetabirika. mjengee hisia za kuachana kama akizingua. utaona adab inakuja. usibembeleze kama ulizaliwa kwa ajiri yake tu. sema unalalamika kama vile unamtegemea hata kiuchumi.
 
Back
Top Bottom