Wanaume Huchochea Mwendo!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wanaume Huchochea Mwendo!



Risasi tu zitoke basi!
Wanawake hupunguza mwendo wakati wanaume huchochea na kuongeza mwendo.
Wanawake hupenda kuguswa mwili mzima (mwili wake wote ni single sex organ) linapokuja suala la kusisimuana kimapenzi.
Ni mara chache sana wanaume hufahamu mwanamke anahitaji nini linapokuja suala la mapenzi na hata kama anafahamu basi akiingia chumbani baada ya muda kidogo anasahau na kuendelea kufanya kile anataka yeye.
Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye mikono slow wakati wa kusisimuliwa na kuandaliwa kuwa tayari kwa tendo la ndoa, hata hivyo mwanaume akishakuwa amesisimka husahau na kuendelea kuwa na mikono mwepesi kukimbilia sehemu muhimu ambazo mwanamke husisimka zaidi akidhani wote wanahitaji mwendokasi sawa.
Ni jukumu la mwanaume kufahamu mahitaji ya mwanamke wakiwa faragha hii ni kuhakikisha mwanamke anaridhika kupata kile anastahili.
<!--[if !supportEmptyParas]-->Tendo la ndoa ni uzoefu wa tofauti kwa mwanamke na mwanaume pia, raha anayoipata mwanaume hasa akishasisimka ni hitaji kubwa la kutaka kuingiza na kutoa (release), kama vile nguvu ya kutaka kutoa risasi kwenye bunduki.
<!--[if !supportEmptyParas]-->Mwanamke yeye akishasisimka na kuwa wet huwa na hitaji kubwa la kupokea, yaani hitaji la kutaka kitu kuingia ndani yake.
Kwa kuwa mwanaume huwa na nguvu hasa ya kutaka kutoa sperms ili kufika kileleni hivyo akishasisimka tu anatamani kuingiza na kutoa, wakati huohuo mwanamke akishasisimka huwa anakuwa na hamu kubwa ya kupokea, kuingiziwa kitu na kujaziwa hadi aridhike, hivyo basi kama mwanaume ana mwendokasi na kumaliza haraka hitaji la mwanamke kutaka kujaziwa raha inaweza isifike mahali panapotakiwa na matokeo yake hujisikia ametumiwa tu na mwanaume kufanikisha raha yake ya kuingiza na kutoa vitu vyake.
<!--[if !supportEmptyParas]-->
Jambo la msingi ni kuhakikisha mwanamke anaandaliwa na kupokea raha ya kutosha hata kabla mwanaume yaja release na kumaliza raha yake.
Mwanaume anahitaji kuwa mtundu kuhakikisha anaanza kwanza na layers ambazo si sensitive moja baada ya nyingine huku akiwa na mikono slow ili kuhakikisha mwanamke anapata raha ya mwili mzima kabla ya kupokea kitu.
Kumbuka!
Mwitikio wa kusisimuliwa kwa mapenzi kwa mwanamke ni mzunguko unaohusisha saikolojia, mazingira na homoni pia anaweza kuathiriwa sana na hisia, mawazo, lugha, utamaduni na sababu za kibaolojia, hivyo kitu cha msingi ni kuhakikisha kabla ya kufika mbali ana hamu na anatamani tendo la ndoa.
 
Back
Top Bottom