Wanaume: Hivi unawezaje kuvaa viatu bila soksi?

Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi?

Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi.

Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.

Huwa kunakuwa na soksi sema ziko fupi sana very short hauzion tu, nyingine zina rangi kama ngozi
 
Back
Top Bottom