wanaume! hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili utadil nae au utakimbia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume! hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili utadil nae au utakimbia?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rapunzel, Jul 12, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  jamani naomba kuhuliza hivi ukimkuta mwanamke ana jinsia mbili ya kike na ya kiume na zote zinafanya kazi utadili nae au utakamkimbia?
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na masamhe kabisa na hata kuja niona tena.
   
 3. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  b--ch plizz!!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,438
  Likes Received: 28,276
  Trophy Points: 280
  Kama ana jinsia mbili atakuwaje mwanamke? Wenye jinsia mbili wanaitwa huntha.
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona hamna shida! nadili nae kwa sana tu!
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,445
  Likes Received: 1,222
  Trophy Points: 280
  maadamu umemtambulisha kama mwanamke, basi atatendewa haki yake kulingana na ulivyobainisha
   
 7. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumia ile inayonihusu kwa fujo halafu natoka nduki mbaya kabla ile ingine haijawa active
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hakuna kiumbe mwenye jinsia mbili kama unavyosema na zote zinafanya kazi....huu ni uvumi tu wa wanaotaka kuhalalisha ushoga.
   
 9. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Nakshi naweza kujua jinsia yako kama hutojali ili niweze kujibu vizuri swali lako?? (niwie radhi kama nitakuwa nimekukosea)
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kiswahili au kisukuma ngosha?
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Huwa haitokei mtu mwenye jinsia mbili zote zikawa active, ni lazima moja inakuwa active kisha nyingine inakuwa inactive.

  Kama kweli una ngwale itabidi ujue ni jinsia ipi vinginevyo inaweza ukashughulikiwa wewe badala ya kushulikia tehe tehe tehe.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  mmmmmhhhhhhh
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 42,019
  Likes Received: 9,866
  Trophy Points: 280
  Weee lazima ni kimbie lakini lazima kidogo ni ipapase ile ya kike na yakiume nitaikemea!

  Usiombe ikukute.
   
 14. C

  Costantino Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yataka ujasili iyo wadau
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,438
  Likes Received: 28,276
  Trophy Points: 280
  Kiswahili sanifu hicho.
   
 16. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Natumia tulichokubaliana nakuendelea na maisha
   
 17. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hahahaha huo utakuwa uoga
   
 18. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Utaikemea ili inyong'onyee au?
   
 19. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Man'tasha hofu usijali, me ni mwanamke
   
 20. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Na je utamjuaje kama ni huntha? Maana umbile lake ni la kike na vigezo vyote vya kike anavyo kasoro sehemu za siri tu
   
Loading...