Wanaume: Hivi ni lazima ukiwa na mchepuko unyanyase mke wako?

degedege

New Member
Jan 26, 2017
2
0
Maana naona asilimia kubwa ya wanawake wananyanyaswa na waume zao pindi wanapopata mchepuko.
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa....Mithali 6:32
 
Kipya kinyemi ingawa kidonda, hata huyo alompata ajiandae kunyanyaswa akipatikana mchepuko mwingine mpya. Hao ndo wanaume bwana.......
 
ukiona mumeo anakunyanyasa kisa mchepuko akili yake muda wote inafikiria na kichwa cha chini... dawa ya huyo NIKUMUIGNORE basi atarudi mwenyewe
 
michepuko kwa kuroga acha tu
boda unyanyasike wengine wanasahaulika kabisa
 
Tulia dada usiwaze wala nini

Fanya ivi nenda tanga chukua coz kwa kungwi ya week mbili alafu rudi kwa mumeo alafu ulete mrejesho

Akikunyanyasa tena njoo kwangu
 
Ku balance equation.... we mleta thread inaonekana hujasoma Physics form 6....
 
Hakuna anayependa kuchepuka ila tu Ni pale mwanamke anaposhindwa kuelewana na Mume ndani. Na pia zipo sababu nyingi zisabibishashazo mtu kuchepuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom