Wanaume hivi mnaweza kweli ku-sex na wasichana msiowapenda?

Mwanamke ndio anaependa kwa hisia za upendo kwanza, anapata stim kwa mtu aliyempenda.

Ila kwa mwanaume anao uwezo wa kupeleka moto hata kwa Dem asiyempenda - Ndio maana anaweza kutembea hata na Changudoa na akapata bao tatu.
 
kama unaenda kwa hisia hivyo kazi unayo.....sisi wengine popote ...vyovyote...tunaweka kambi na performance ni ya *****...
 
Rijali huwa anapiga game yoyote ile. Rijali akipendezwa na mguu tu lazima atafute ushindi. Wewe Dogo damu yako ya baridi haichemki kabisa angalia hata huyo utakayempenda asijekukimbia maana mwanaume rijali lzm uwe msumbufu km jogoo, au beberu! Ila ukioa tulizana na mmoja!
 
Muandishi una tabia za wanaume wa Kinondoni,sisi mabaharia tunasimamisha popote habari ya kupenda nitaangalia kama nitampenda nikishampelekea moto
 
Salaam!

Kwangu mimi nimeshindwa kabisa, yaani msichana hata akiwa na uzuri kiasi gani, nisipompenda tu siwezi kusimamisha uume, ila nikimpenda daaah yaani kitu ngangari mwake mwake.

Nirudi kwenye swali, hivi wengine mnaweza? Au mimi nipo different? Yaani mademu wengi tu wanajigonga kwangu ila kama sijawaelewa nawachana tu kiroho safi.

mwanamune - Sex ni swala la kibaiolojia kwake haliongozwi na hisia ila mihemuko tu ya mwili- haitaj kumpenda msichana ili afurahie mapenzi. wala haitaji motivation mfano pesa au kupata kitu flan

ndo maana mwanaume anaweza akamaliza kufanya mapenz na mwanamke dk mbil mbele akamuona mwingine na akamtamani na bado akaweza kufanya naye huyo mwingine na kufurahia mapenzi

sababu mwanamune mihemuko yake ya kufanya tendo imelalia kwenye umbo la mwanamke na sura, mwanaume hawez kupata hisia za mapenz kwa kusikia tu sauti ya mwanamke mpaka amuone

mwanaume anataman kwanza kisha anapenda in rare case mwanaume anaweza akampenda mwanamke kwasababu ya uwezo wa mwanamke wa kufikiri (kuwa smart na mwenye hekima(msikivu) - wenyewe wanaita wife material ila bado kutamani kupo pale pale

Mwanamke - sex ni swala linaloongozwa na hisia zaid.. ili afurahie mapenz ni lazima ampende huyo mwanaume, nje ya hapo atafanya sex na mtu ikiwa kuna kunufaika kwa kimaisha zaid ( mfano pesa, nafas ya kaz, elimu , ama kama njia ya kipato) mwanamke anaweza akapata hisia za mapenzi kisa kasikia saut nzuri ya mwanaume.. au huyo mwanamume kasifiwa , na hata hajamuona kwa sura

mwanaume anaweza aka cheat sababu ya matamanio ila sio hisia za upendo.. mwanamke aki cheat jua ni amependa.. labda iwe sababu za kimaisha kama. nilivyosema hapo juu

mwanamke asilimia kubwa maamuz yake kwenye maisha ya kila siku yanaongozwa na hisia ( kwenye kila analofanya mchango wa third part una umuhimu)

mwanaume yanaongozwa na pride.( yaan kwenye kila analofanya mchango wa third part sio muhimu sana )

ndo maana ipo misemo mwanamke akiwa haongozwi na hisia anaitwa ana tabia za kiume.. mwanaume nae akiongozwa sana na hisia anaitwa ana tabia za kike

its a biological thing.. ila kumbuka pia kuna special cases wanawake waliozaliwa na pepo la ngono na pia kuna special case ya wanaume wasiokuwa na matamanio ya ngono..

HAIMAANISHI KUWA KUMTAMANI NDO KUFANYA NAE UNAWEZA UKAMTAMAN NA BADO UKAJIZUIA AU UKAPOTEZEA ILA TAYARI SWALA LA KIBAIOLOJIA LIMECHUKUA
NAFASI
 
Nyeto sio salama kwa afya yako
 
Uko sahii kabisa
 
Back
Top Bottom