Wanaume, hivi kubikiri kwenu ni ujiko?

Hii mi siwezi kumsaidia ila ukija na the same heading I can defend kutoa kakitu ni poaaaaaaaaaaaaaaa........though u cry
 
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku.
Baada ya kipigo kikali Anasema kavutiwa na vichuchu vya na kuanzia azaliwe hajawahi kutoa msichana yeyote bikira.
Jamani, hivi nyie midume mna akili kweli?

Ukitoa msichana bikira wewe ni shujaa kuliko hata waliopigana vita vya MajiMaji.
 
Ukitoa msichana bikira wewe ni shujaa kuliko hata waliopigana vita vya MajiMaji.

ushujaa unaosema wewe ni huo wa kutoa cell membrane (hymen) ama? na nyie wanaume bikra yenu inatolewaje au day 1 tu ukinanhi kwisha habari ama mii sielewagi ati, haha The emperor umenichekesha sana ati unakuwa shujaa kuliko waliopigana vita vya majimaji dah hii comparison mbona haina common set . uwiii wanaume jaman
 
yaani mwehu mmoja ndo unatukana wanaume woote?

Boss usiwe offended mkuu. Ila ni fact wanaume wengi wakipata nafasi ya kubaka bila kukamatwa watabaka. Ndio maana watoto, wagonjwa wa akili na walevi hubakwa cause mbakaji will get away with it asipokamatwa red handed.

Dawa ya wabakaji ni simple, wahasiwe.
Kama mwizi anavyopata kipigo kwa kuiba kuku, mbakaji ahasiwe iwe mwanzo na mwisho wa kufikiri kwa kutumia dick head badala ya ubongo.
 
ushujaa unaosema wewe ni huo wa kutoa cell membrane (hymen) ama? na nyie wanaume bikra yenu inatolewaje au day 1 tu ukinanhi kwisha habari ama mii sielewagi ati, haha The emperor umenichekesha sana ati unakuwa shujaa kuliko waliopigana vita vya majimaji dah hii comparison mbona haina common set . uwiii wanaume jaman

Nini tena!?Umeniamsha usingizini kwa mayowe yako!
 
YULE MWANAUME KAKOSEA BWANA, KIFUPI MUUAJI APEWE 30YRS MOJA KWA MOJA
anyway....kubikiri ni starehe ambayo huwezi fananisha, kwani unakuwa dokta...lakini si ujiko kama unavyodhani inatokea tu na hii inategemea ulitageti au ndo unasubiri wakutengenezee....Halafu ukimbikiri msichana unampenda sana hata yeye pia, yani si rahisi msichana kutoka nje labda uanze mbwembwe wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom