Wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani?

Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
Mwambie Mumeo ndio aone aibu...Wanaume wengine wanakuhusu nini ikiwa si wakwako?

Walikuomba uwaangalie?

Mbona wewe unaachaga maziwa na mapaja nje ila hatusemi?
 
Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
Mbona nyi mnatembea vichwa wazi na manywele na hamuoni aibu??!!..
 
Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
mbona nyie mnapiga jeki matiti na sisi hatusemi
 
Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.

Pole dada huo ni ufahali wa wanaume so long bado hazijabadirika jina sawa tu. Ni kama masharubu, ndevu(mzuzu) nk. siku hizi hata za kwenye kwapa huwa ni fahari ya mtu wanaziacha tu. Acha wivu mbona ninyi mnavoachia mabaja yenu na siku hizi nasikia hata pichu wengine hawavai. ;);););););)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom