Wanaume Hawana Huruma na Wanawake Siku hizi..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....
 
Samahani nawe kumbe ni.......
:focus:
Nami nasubiri hizo sababu!!!
 
vidum ndo vinawapa dharau na kutokuwepo maelewano ndani ya mahusiano yao yanyo pelekea hadi wengine kudundana
 
Samahani nawe kumbe ni.......
:focus:
Nami nasubiri hizo sababu!!!
LOL

Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....
wanawake mnapenda "bad boys" zaidi so lazima wataumia tuu. "good boys" tupo lakini tunaonekana maboya.
 
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....
nimegundua kumbe wewe ni mwanamke?hongera sana
 
ukatili upi? fafanua kidogo.
kuna ukatili wa aina nyingi;-
- kupigwa mara kwa mara
- kunyimwa unyumba
- kunyimwa pesa za matumizi ya kila siku
- kununiwa ndnai ya nyumba
- kuletewa watoto wa nje
- kuletewa kimada hadi home
- kuombwa pesa za matumizi na kidume chako
- wazazi wako (wakwe) hawapati attention stahili
- hati ya nyumba na kadi za gari ziko kwa jina la kidume
- anarudi home kila siku night kubwa akiwa tilalilaa
- halipi ada za shule za watoto on time hadi wafukuzwe
- hana time na shughuli za jirani (misiba, sherehe) unapata aibu na madongo.
- Kila mara akitaka unyumba, akili yake inamtuma kwenda kinyume na maumbile

funguka basi!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....

Jina Boflo tu ni utata achilia mbali mada yenyewe, ongezea na hapo red.
Halafu kingine kwa nini wanakulalamikia wewe?
 
Last edited by a moderator:
kilichosababisha wanaume kuwa makatili na roho nguma tena mbaya kabisa ni nyie wakina DADA wenyewe!! me namfano hai kabsaa, siwezi andika hapa bila faida!! kama utaweza naomba Uni PM
 
na wanawake wamekuwa wakatili sana yaani kuwabambikia wanaune watoto sii balaa hilo jamani na ukatili
 
Boflo ooooooooooooooo ni aje Mkuu!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom