Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....