Wanaume hatupendi kuchungwa kama mbuzi, warembo mnakosea sana

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Wakuu kama mnapitia hii kitu sijui mnawezaje kuishi nao, hamna kitu sipendi kama mwanamke kunichunga chunga kama mbuzi. Eti abiria chunga mzigo, ni kauli ya kujifariji tu

Mimi mtu kuniulizauliza upo wapi mbona nasikia kama upo bar, au anapiga simu unapokea linakaa kimya kusikilizia sauti au umelala linavizia simu linapekua meseji akikukutana na alichokua anatafuta unakuta kavimba mashavu kama Comba kaona mbwa huo ni upimbi.

Lingine limevimba kama Cobra linakuvizia usiku umelala linakumwagia mafuta ya moto eti linakukomoa. Nikikuhisi unanifatilia nakutanguliza kibla

17011160-27384110-2-0-1510212869-1510212875-0-1510643444-0-1510661425-1510661434-650-1-151066...jpeg


muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Amna mwanamke ambae hapend kujua boyfriend/ husband yupo wap na anfanya nn kwa wakat huo.

Alaf watu kama nyie ndio mnawasumbua wake zenu kwa msg na cm et wako wap, lkn ww utak kufuatiliwa

Umepotea njia....

Sent using Jamii Forums mobile app
I'm gentleman...najiamini nipo salama naona anajipa kazi afu ananivunjia heshima

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Hoja imepita bila kupingwa mkuu.Kuna manzi alikua akiniuliza kila saa uko wapi nikampiga chini bila notice hakutegemea.
Safi sana maana anakufanya uishi kwa hofu afu unakua muongo muongo ili kumridhisha badala akuache kichwa kitulie upambane na pesa

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Sinaga huo muda ila namshauri mambo mema so nijukumu lake kufuata ama kutofuata ukizingatia sijamkuta na bikra

muhogo,nazi,karanga tende,asali
kwa hiyo unajua kabisa kuna mshikaji anamega kisera hasa alieanza kumtoboa

 
kwa hiyo unajua kabisa kuna mshikaji anamega kisera hasa alieanza kumtoboa

Kwanini usimwamini hayo mambo ndio yanasababisha chuki mwisho mnaachana we kwani akitombwa unapungukiwa na nini hata ukimfatilia akitaka atatombwa tu

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Back
Top Bottom