Wanaume Embu Nisaidien kwenye Hili

Huyo hkupend from experience yangu mie humfanyia hvyo mwanaume nisiye mpenda
 
Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila alichonifanyia Leo nimechukia sana alaniambia anaumwa yuko nyumban akiniomba nimpeleke matunda nikafungasha kama ya Ten nilipofika karibu na kwao nikampigia simu njoo chukua mzigo wako ili na mim nisepe akasema anaumwa sana nimpigie rafiki yake aje amchukulie mana yey anaumwa sana nikampigia bahati mby nikamkosa rafik yake nikaomchek nikamwambia toka tu uchukue niendelee na mambo yangu mengine akasema anaumwa sana ikabid niondoke mana mvua ilikuwa inanyesha hamad nikakutana na rafik yake nikamuliza Fulan anaumwa kiasi kwamba awez toka?akaniambia mbona anatoka vzr tu nikampa mfuko nikarud nyumban ghafla ananipigia simu ety nipo sehemu fulan njoo nione nikamwambia nimekuja hadi kwenu ajatoka saiv nije kufuata nin uko....iv ni wanawake wote wako ivyo????
Wa hivyo nawaitaga "pasua kichwa"
Hajakomaa akili piga chini
 
Mapenzi ya kweli upendwe na mpenzio hapo ndo utajisikia vzr km we ndo umependa tegemea vituko
 
ulishawahi kununua matunda ukampelekea mama yako, shangazi au hata dadako? kama hujawahi wacha akusumbue tuu, huna jinsi.
 
Pengene huko kwao ilikuwa kuna kipogo ilikuwa upate ss huweza kufika ukasalimika. ungali muona mume mwenzako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom