Wanaume design hii ndo maana Trump anatukana waafrika

Elimu ya uzazi wa mpango inahitajika hasa vijijini. Na tuliowengi tunaona aibu hata kuuliza pale inapobidi.
 
si kutaka sifa.....eti anakizazi kizuri...kumbe anatesa wenzie
 
Ngoja tuone, ikitokea shida hata pole sipeleki.[/QUOTE]
_______________________________________________________




Oil chafu , "... naomba utengue kauli hii.... maana shida haina mwenyewe ,

Nafikiri umeanza kukufuru bila kujitambua , yeye kuzaa bila mpangilio ni kazi ya Mungu, mwisho wa siku usishangae hao wanao uliopangilia vizuri kuwaleta duniani wanakuwa mateja na hao waliopandanishwa kama kuku wanakuwa kina Christiano Ronaldo.

Kumbuka" maisha hayana formula kamili........ tunapopanga maisha tunategemea zaidi bahati na huruma ya ALLAH

ikitokea shida kwako yeye afanyeje?
___________________________________

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio tabia ya kiume kumsema msela wako hivyo.

Ni vema ungemuelimisha namna ya wewe ulivyofanikiwa kufanya family planning

Kisha ukamsaidia na namna ya kujitgemea kiuchumi.

Sasa ukisema kama hivi umemsaidia nini?
Kweli kabisa sumbai ni jambo la aibu kwa mwanaume kumsema mwenzio hadharani bila kumkosoa yeye binafsi.
 
Back
Top Bottom