miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,969
nakuja nakujaYaani mpaka hapo njoo nikutongoze
nakuja nakujaYaani mpaka hapo njoo nikutongoze
unaweza usijue zaid ya kukanyaga mafutaGari unaendesha mwenyewe halafu huna hakika kama linatembea? Teheteheeeee
tukubaliane tu
Sio kila mwanafunzi wa chuo jinsi ya kike inavyosemekana wote makahaba,,, ichukue hivyo hivyo,, wapo wababa wanao jielewa, wanachafuliwa na asilimia ndogo sana,,Heloo...!
Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!
Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!
Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.
Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..
Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..
Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..
Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????
Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!
Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!
Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
jinsia keHiyo michepuko huwa ni ya jinsia gani?
kumbe afanyeje?!shida ni huyo mwanamke anaekubali kuwa hawara
jinsia ke
wanawake wengi sio wa kuchepukachepuka...So if it takes two to tango, what's the beef?
wanawake wengi sio wa kuchepukachepuka...
nyie ndo mwapendaaa mambo hayo lazima shida iwepo!!
sawa bwanaKwamba wanawake wengi sio wa kuchepuka, hiyo ni dhana potofu tu.
Wanawake wengi tu huchepuka.
Huenda hata wewe ushawahi kuchepuka.
So if it takes two to tango, what's the beef?