Wanaume Bhana..

The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,144
Points
2,000
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,144 2,000
Ni wanaume pekee wanaweza kuspend pamoja siku hata miezi bila hata kujuana majina..

God bless us Niggas..
mimi kuna jamaa ofisini tuko vitengo tofauti yani tunaweza kukutana hivi salamu kwa sana nini lakini huu ni mwezi wa 8 simjui hata jina na sidhani kama langu analijua lakini tukikutana ni kama friends hivi.
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,770
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,770 2,000
Tabia za majivuno ama kujikweza kila mahali. Kupenda masifa sifa ya kijinga na dharau
Kuna wadau kibaruani yani story nyingi sana,mtu anasimulia mambo mpaka yake na mkewe,nasemaga wana matatizo sana wanaume wa aina hiyo.

Kuna mdau huu mwaka sasa naonana nae napiga nae story lakini simjui jina ila yeye ananijua,kuna siku alinitafuta kwa namba ya simu nikamuliza jina lako nani akamaind.

Ila saivi simuulizi jina ila yeyr ananijua sasa mimi nawauliza washkaji wengine jina lake nao hawamjui..
 
Kuchakuro Ps

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
331
Points
500
Kuchakuro Ps

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
331 500
Wengi wako hivyo pamoja na Mimi mwenyewe.
Lakini nafikiri sio vizuri, tujitahidi kufahamiana, japo kwa kutaja jina.
Mwingine anaweza kutumia gape hilo la kutofahamiana majina akakuibia.
Hasa Kama mkiaminiana Sana, Unaweza kumuachia kitu chako akasepa nacho.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,428
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,428 2,000
Kuna wadau kibaruani yani story nyingi sana,mtu anasimulia mambo mpaka yake na mkewe,nasemaga wana matatizo sana wanaume wa aina hiyo.

Kuna mdau huu mwaka sasa naonana nae napiga nae story lakini simjui jina ila yeye ananijua,kuna siku alinitafuta kwa namba ya simu nikamuliza jina lako nani akamaind.

Ila saivi simuulizi jina ila yeyr ananijua sasa mimi nawauliza washkaji wengine jina lake nao hawamjui..
Hahah huyo sasa amepitiliza. Sio nzuri kuongelea personal stuff zako
 
Forum statistics

Threads 1,294,190
Members 497,843
Posts 31,167,576
Top