Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Ni yupi huyo anaitwa nani
haya bahnaLazima upewe zawadi ili a
ukatulize msh...no usiwe mdangaji unapoenda,ata jamaa akitaka ushauri nitamwambia asiwe boya aweke kitu.
Mavuno MengiNi yupi huyo anaitwa nani
Mavuno mengi ni jina la jf auMavuno Mengi
Hapana ni lake kapewa na wazazi wake .anaitwa majivuno MengiMavuno mengi ni jina la jf au
Ujauzito una muda wiki ngapiHapana ni lake kapewa na wazazi wake .anaitwa majivuno Mengi
5 hadi sasa mwenzako hatoiUjauzito una muda wiki ngapi
5 hadi sasa mwenzako hatoi
Nicetuna foundation inayo saidia watu kama hao kama wanakosa matumizi na wanauhitaji sana
Mpe pale mmekubalianaZawadi ya pekee anayo hitaji mwanamke ni mimba tu ..ukimpa magari na majumba atakudharau na kukukimbia... over
Muache uzinzi.Eti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia .
Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku moja nini?
Wewe mpaka unaenda kwenye makazi yako mapya hujui nizawadi gani wiki kupita kama nne huoni period kumbe kaweka mazaga zaga yake .
Wanaume eleweni kabisa kuzaa ni mipango sio mtu tu unamfanya single mother kisa umeamua kumuachia mtu mtu mwingine wakumlea kumbuka atahitaji mengi .
Uzazi malezi na pia hayo malezi ya mtoto sio rahisi ila nyie mnaona rahisi.
Maisha ni magumu huu ukiritimba muache kabisa sio muwanyime wenzenu starehe zao na hamna mipango now ya mbele.
Unamjaza mtu upepo halafu baadae unadai unaona fresh so mwenzako alikuwa ni laboratory ya kutestiwa vitu halafu mnaofanya hivi niwatu naakili zao.
Wengine mmeoa tayari.
Sijui mnafikiriaga nini kweli acheni uharibifu.
Chriss Mauki njoo ukoa huyu single mama.. Pole katoto kabayaeeEti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia .
Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku moja nini?
Wewe mpaka unaenda kwenye makazi yako mapya hujui nizawadi gani wiki kupita kama nne huoni period kumbe kaweka mazaga zaga yake .
Wanaume eleweni kabisa kuzaa ni mipango sio mtu tu unamfanya single mother kisa umeamua kumuachia mtu mtu mwingine wakumlea kumbuka atahitaji mengi .
Uzazi malezi na pia hayo malezi ya mtoto sio rahisi ila nyie mnaona rahisi.
Maisha ni magumu huu ukiritimba muache kabisa sio muwanyime wenzenu starehe zao na hamna mipango now ya mbele.
Unamjaza mtu upepo halafu baadae unadai unaona fresh so mwenzako alikuwa ni laboratory ya kutestiwa vitu halafu mnaofanya hivi niwatu naakili zao.
Wengine mmeoa tayari.
Sijui mnafikiriaga nini kweli acheni uharibifu.
😀😂😂😂 hio ni zawadi special sio ya kawaida, kama huamini muulize jide au wema sepengaIla kuna vigezo vya kujaza dunia oeni namzae ili mjaze dunia sio umpe mwenzako kama zawadi yakawaida.
😂😂😂 kweli kabisa, sie tulio serious huwa tunaonekana cartoon tu mbele yaoKama mnapenda mabishoo sisi wengine tufanyeje. Anakuja mtu ana nia nzuri wewe eti am taken na kapete uongo ulikovalishwa mbele ya rafiki tu tena siku ya bday hata dada ake humjui.
Pole yake/yako.