Wanaume bhana mna mambo

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Eti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia .
Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku moja nini?
Wewe mpaka unaenda kwenye makazi yako mapya hujui nizawadi gani wiki kupita kama nne huoni period kumbe kaweka mazaga zaga yake .
Wanaume eleweni kabisa kuzaa ni mipango sio mtu tu unamfanya single mother kisa umeamua kumuachia mtu mtu mwingine wakumlea kumbuka atahitaji mengi .
Uzazi malezi na pia hayo malezi ya mtoto sio rahisi ila nyie mnaona rahisi.
Maisha ni magumu huu ukiritimba muache kabisa sio muwanyime wenzenu starehe zao na hamna mipango now ya mbele.
Unamjaza mtu upepo halafu baadae unadai unaona fresh so mwenzako alikuwa ni laboratory ya kutestiwa vitu halafu mnaofanya hivi niwatu naakili zao.
Wengine mmeoa tayari.
Sijui mnafikiriaga nini kweli acheni uharibifu.
 
Mwanamke mwenye akili zake timamu hawezi kupata mimba kirahisi kuna siku salama yani izo ata umwage ndani vp hawezi kupata mimba na kuna siku zahatari ukimwaga kosa hivyo mwanamke anaejielewa niyule anaecheza na siku zake utawakuta wachaxhe ndio wanaojua kucheza na siku zao
FB_IMG_1553862030886.jpeg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom