Wanaume badilikeni!

Preety

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
433
153
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!
 
Waswahili wanasema 'njaa mwana malegeza,shibe mwana malevya'

so sometimes watu wakishiba hutafutatu cha kuongea baada ya shibe..
na most of time kulalamika...tu ili mradi mda uende...

dont take them serious
 
Acha ushabiki!
Humu kuna ke wanaponda wanaume na kuna me wanaponda wanawake!
...
Ingekua vyema ungetumia "TUBADILIKE!"
 
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!

duu bora umesema ya rohoni mwako naanza sasa..

jana wii wako alipendeza sana kuanzia maongezi hadi pamba alizovaa..
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
 
ni mtazamo tu macho mengi huona makosa zaidi kuliko mazuri kwa hiyo we kuwa mvumilivu endelea kusubiri sifa zako muda ukiwadia
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

Naunga mkono hoja!
 
hahahahahhh...iyo ya kuwanyima nimeipenda sio usiku mmoja tu bali wiki kabisa au mwezi.ili tuone je wataendelea kusema zinazuka au zimelegea....
 
Kwa hiyo shida yako ni kutaka kusifiwa tu?

Haya hongera kwa kuanzisha thread bi mkubwa...
 
Waswahili wanasema 'njaa mwana malegeza,shibe mwana malevya'

so sometimes watu wakishiba hutafutatu cha kuongea baada ya shibe..
na most of time kulalamika...tu ili mradi mda uende...

dont take them serious
Uko deep.
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

Umeona e? Hawa watu hawa jmn mweee shughuli!
 
Waswahili wanasema 'njaa mwana malegeza,shibe mwana malevya'

so sometimes watu wakishiba hutafutatu cha kuongea baada ya shibe..
na most of time kulalamika...tu ili mradi mda uende...

dont take them serious

Asante, nawakubali sana watu kama ww!
 
Hahahahas shida si kusifiwa tu jmn e! Little things matter a lot!

Hahaha!!!

Ni hivi rafiki, ukiona mwanaume analalamika na kukebehi sana mwanamke ujue shida ni yeye mwenyewe...

Hivyo wala usipate tabu na watu wa namna hiyo, hakuna kitu wanakupunguzia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom