Wanaume ambao tushawahi kutapeliwa na wanawake tukutane hapa

Kuna dem aliniomba nimuazime 600k akalipe kwenye vikundi vyao siku ya kugawana na baada ya kugawana fasta alinirudishia hela yangu. Siku chache baadae akaniomba 100k lakini akaniomba hii nimpe siku chache nikampa. Siku, miezi mwaka ukakatika bila bila siku moja namkumbusha akacheka huku akisema "wewe nae husahau!" Huu mwaka wa3 hajanilipa nimeamua kusamehe.

Kuna wakati ananichek whatsapp ni kama anajilengesha nikajua anataka kulipa fadhila nilivyomjaribu akajibu "Unachelewa sana kufunguka Mtata" 🤣
 
Kuna dem aliniomba nimuazime 600k akalipe kwenye vikundi vyao siku ya kugawana na baada ya kugawana fasta alinirudishia hela yangu. Siku chache baadae akaniomba 100k lakini akaniomba hii nimpe siku chache nikampa. Siku, miezi mwaka ukakatika bila bila siku moja namkumbusha akacheka huku akisema "wewe nae husahau!" Huu mwaka wa3 hajanilipa nimeamua kusamehe.

Kuna wakati ananichek whatsapp ni kama anajilengesha nikajua anataka kulipa fadhila nilivyomjaribu akajibu "Unachelewa sana kufunguka Mtata"
 
Aisee!
Naomba nikuulize mkuu..
1). Umeolewa au bado?
2). Hao ME wenye roho nzuri wanaokusaidia mara Kwa mara, je ikitokea siku ukakutana na mmoja wao ana shida ya mbususu, utamtunuku au?
ajabu sasa mie ndo huwa nawaomba niwape mbususu wengine ni mahandsome kweli yaani!!..... sasa walio wengi wanasisitiza kabisa hawataki mbususu!! walinisaidia tu kwa roho njema!

tena ndo wanazidi kabisaaa misaaada kma yote hata wengine wananionyesha na familia zao, zinakuwa marafiki nisingefika hapa nilipo bila watu hawa wa ivi!!

hata kunitafutia na kazi!! tofauti tofauti!! km huyu HR Wa sasa hivi yaani akinionaga anafurahi kweli ...lkn mjue wana JF kutoka ndani ya moyo wangu hakuna ndugu/jamaa aliye nitafutia kazi

wala hata connection ya kwenda nje ya nchi ila ni watu Baki,...yaani baki kabisaaa!! mpaka huwaga najishangaa Mungu yupo jamani zaidi na wala some siyo Watanzania! Jamani mwee!
 
Kuna wanawake wana nyota ya hela yaani ukimtomber michongo ina tick tuu...full raha. Ndio hapo mjue kuwa msemo wa nyama ni ile ile huo ni uongo
Weye umeona mbali sana!! wengine wanakurupuka eti wanawaacha wake wa ivo basi ndo wanakufaaa maskini ! Ndo waweza kuta handsome boy lkn mke wake maweee!
 
Kuna dem aliniomba nimuazime 600k akalipe kwenye vikundi vyao siku ya kugawana na baada ya kugawana fasta alinirudishia hela yangu. Siku chache baadae akaniomba 100k lakini akaniomba hii nimpe siku chache nikampa. Siku, miezi mwaka ukakatika bila bila siku moja namkumbusha akacheka huku akisema "wewe nae husahau!" Huu mwaka wa3 hajanilipa nimeamua kusamehe.

Kuna wakati ananichek whatsapp ni kama anajilengesha nikajua anataka kulipa fadhila nilivyomjaribu akajibu "Unachelewa sana kufunguka Mtata"

Weye umeona mbali sana!! wengine wanakurupuka eti wanawaacha wake wa ivo basi ndo wanakufaaa maskini ! Ndo waweza kuta handsome boy lkn mke wake maweee!
Ah wee hapana ata mwanamke awe na nyota vipi ya pesa kama ng'ong'o mie hapa aisee siwezi oa. Mara mia nioe mke mweye sura tako na matiti lakini hana akili kuliko eti nioe mwanamke sura pesono ila ana nyota
 
Ni sawa kabisaaa! uko sahihi Mkuu! hawa wake zenu mnao oa!na kuolewa au tuseme haya maisha kwa ujumla yanaendaga Kinyota zaidi......

Sisi wenye Koo za kifalme tangu zama tunalijua sana hili!! ivo hata uwe mbaya au mzuri kivipi tunajuana sana tena ya munoo!! mfano ukoo wa Malkia Elizabeth! hawakurupuki kuoa!

ukikurupuka kuoa/kuolewa wao wanajua, weye siyo Royal Blood!! unatemwa kiaina!! kivipi?? hili nalo ni somo reeefu!..ukitizama sana haya mambo yalianzia enzi za Biblical time!!

Mfano ni pale Yakobo alipo chaguliwa Mke wa kuoa.......lkn kaka yake Yakobo,yaani Esau alioa!! oa tu, km unavo waza weye matokeo ule ukoo wa Esau ukapotea mazimaaaa!! mpaka leo! hawajulikani!

Lkn Yakobo weeee!! mpaka leo tunawajua!!....Nina hakika weye hujui huo ukoo huo!!. ...kwa kuwa wewe haraka haraka una damu ya Esau au naniliu yule nani vileee!!!!!...........en heee!! Cain..........

.km unajua ukoo wa Yakobo nitajie mmoja tu....... hawa ukoo wa Esau mnjulikana kirahisi tu...lkn ukoo wa Yakobo?? mweee! yaani mpaka leo wanachaguaga washirika vilevile km Babu zenu!!

Si unaona Sethi, Yakobo walichagulwa Damu za wake inayoeleweka vyema na wakatii!! na vizazi vyao viko njema mpaka leo! mapaka kesho lkn kuwajua sasa ndo muziki!

Kwa hiyo jua kuwa kuoa au kuolewa humu Duniani tunachaguana kwa damu!!...kuna wengine wengi tu wanaoa Nefilims!! kabisaaa na mifano ipo.........na

Biblia iko wazi haswaaa kuwa na nukuu ''Nefilims walikuwepo kabla na baada ya gharika''' mwisho wa nukuu sasa hapoooo!!
 
Yote kwa yote mie bado nipo pale pale kwenye mwanamke mwenye tako basi. Kwangu mie mwanamke mwenye akili sina shida nae maana sina mpango wa kuwa na watoto. Wale wenye nia na kuwa na watoto kweli waangalie akili ya mwanamke.
Mie naangalia sura na chura basi
 
Sasa Mkuu hana kismart!! utapata wapi hela ya kumlishaaaa?? kwanza lazima akukimbie tuuu!! ...anaenda kuolewa kwingine penye posho japo ya mda mfupi sasa je huko utamfuata???.... uone maajbau??.....

Make wale ndo walivyo!! lkn mwenye kismart hela km zote, Nyumba bomba!! yaani maisha ni full Mziki!!...na ndo maana wenye trako weeengi wanapendwa na wengi kutumiwa!!

sasa weye mtu anapendwa, mpaka na kaka jambazi/mchawi wa mtaa/Hakimu wa wilaya anakula hapo! sijui km utakuwa na maisha ndgu yangu!!...hivi wewe hujiulizi kwa nini waremboooo hawaolewagi???

Basi jua kabisa umerogwa!!! na utakufa dakika sifuri!! au utapata naniliu Ukondefu wa ghafla km siyo ukimwi! make hawa kwa sababu ya nyota hafifu watatafuta maisha kwa kasi humo humo ndo wanapata ukimwi!

kila la heri lkn yangu ni hayo
 
Back
Top Bottom