Wanaume ambao hawajawai kutoa bikra wengi wana matatizo ya nguvu za kiume.

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,039
Wakuu kama heading inavosomeka, wanaume ambao hawajawai toa bikra wengi wanamatatizo hayo kwasababu inasemekana ile bikra inayotoka uken inavirutubisho ambavyo husaidia uume kukua na kuwa ngangari.

kwa wale ambao hamjawai toa bikra ni kweli mpo hvo?
 
Kwa mtindo huu vimbunga havitaisha kuja hapa Tanzania kwa mtindo huu wa akili zetu,Mwenyezi Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu
 
Wakuu kama heading inavosomeka, wanaume ambao hawajawai toa bikra wengi wanamatatizo hayo kwasababu inasemekana ile bikra inayotoka uken inavirutubisho ambavyo husaidia uume kukua na kuwa ngangari.

kwa wale ambao hamjawai toa bikra ni kweli mpo hvo?
Kwa hiyo huwa mnakunywa zile damu baada ya kutoa bikra?
 
Una maanisha watoa bikira tuna kinga ya kutougua presha wala sukari na hata tukiugua tutaendelea kuwa ngangari na nanii zetu.
 
Acha porojo zako sijawahi toa bikira lakini shoo yangu ni ya kibabe mpaka MTU anaomba mma
Wakuu kama heading inavosomeka, wanaume ambao hawajawai toa bikra wengi wanamatatizo hayo kwasababu inasemekana ile bikra inayotoka uken inavirutubisho ambavyo husaidia uume kukua na kuwa ngangari.

kwa wale ambao hamjawai toa bikra ni kweli mpo hvo?
 
Wakuu kama heading inavosomeka, wanaume ambao hawajawai toa bikra wengi wanamatatizo hayo kwasababu inasemekana ile bikra inayotoka uken inavirutubisho ambavyo husaidia uume kukua na kuwa ngangari.

kwa wale ambao hamjawai toa bikra ni kweli mpo hvo?
Utasababisha watu waanze kufikiria kubaka vibinti! Shauri yako na tafiti zisizo na kichwa, miguu wala mikono!
 
Back
Top Bottom