Wanaume ambao hamjawahi kupendwa mnapata tabu sana kuwajua wanawake matapeli

Mmh ww ni female au male CreditAnalyst
Wewe...HUNA HELA USHAZOEA KUPATA VYA BURE... TENA UKISHATOMBA UNAWAZARAU TU...aaah yule haitaji.nguvu nyingi kumpata.

mwanaume NA TUMIE UANAMUME...nayo nipamoja na kujali ..kujali kwa hisia na matendo..(hEla).

WE WOMEN ARE PRICELESS CREATURES created for men to love and enjoy. But not for FREE...ukikipenda kitu utakigamia..

Lakini nisikulaumu Inawezekana uwezo wako nkutoa Ni pipi tatu za shilling Mia...ukizidi Sana Sayona ya miatano
 
Tena HUWA mnawapenda Hawa wanawake wavumilivu, wavumiliano shida...mnazaa na watoto kwa shida..mwanamke hata hela ya kununua khanga Hana...let alone mafuta mazuri yakujipaka..utamsifia Mapenzi sio pesa ..tuvumiliane.

SUBIRIA HUYU MWANAUME APATE hizo pesa...ndo ataanza kumuona huyu alimpendea Nini..hapo.ndo anakutana na mslay queen ...anawahonga hatari..maana huko ndo.anakuoonekana mwanaume mwenye.pesa...zake

Mke anaishia kuhama.makanisa akiomba mwanaume abadilike..nahapo.huyo mwanaume Kama hatahama kabisa..nakuhamia.kwa slay queen.
 
Sometimes, shida sio kutoa hela, utakuta mm nagharamia half kidume mwenzangu anapewa papuchi ya buree kabisa, bcoz anapendwa

Na unaeza honga lakini papuchi usipate, si ufala huo na hasara. CreditAnalyst
 
Nusu ya uzi nikajua ni manzi..

Anyway.. A search of any human being is happiness
Dah! Poleni sana kwa kweli nimesoma thread nyingi humu nakuta wanaume wanalalamika juu ya kudhulumiwa pesa zao na wanawake na mzigo hawajapewa

Kuna mwingine nae pia kaanzisha uzi eti demu akisema amekumiss basi ww inabid umtumie pesa nikacheka sana ninajua kinachowasumbua hawa wanaume wa namna hii ni kwamba hawajawah kupendwa na kuwa ktk mapenz ya dhati

Katika dunia ya sasa ili uweze kuwatambua wanawake wez inabid uwe na wale wenye mapenz ya dhat haya matapeli ya mapenzi ndio yanayosambaza agenda za pesa pesa tu yaan wanachptaka kila mtu aamin mapenz ni peaa na kwel wamefanikiwa sn sasa hv asilimia kubwa ya wanaume wanaamini mapenzi ni pesa

Mwanamke anaekupenda kwa dhati hakuombi pesa mpaka ww mwenyewe ujiongeze na ata akikuomba anakuomba km anasita vile na ata ukimpa kidogo au nusu halalamiki

Mimi nimewahi kutana girls kadhaa unakuta lengine siku ya kwanza tu mnakutana lishaagiza chips yai jikon na mishikaki juu hapo bado linataka nauli ukiombamzigo utasikia leo nipo period na ukikataa kumpa anachotaka anaanza julalamika kampan yko mbovu ukimwambia chukua chips kavu anakataa mara utasikia mm kwetu nimezoea kula mishikaki

Wengine siku akikukubalia tu basiiii siku hiyohiyo utasikia baby nikuombe kitu na kuna wale wa tuma ya kutolea mara tuma nauli nije hawa wote ni wez na matapel wana aina nying sn za kutapeli siwez kuziweka zote hapa maana wanaolizwa ni weng anaweza kuzuga ata anaumwa utume pesa aende hospital sasa kimbembe mwambie umsindikize uko hoapital weeeh

Niliwah kutana na wadada kadhaa wenye mapenz ya dhat sasa kuna mmoja ndio alivunja tekod kabisa huyu alikuwa hana simu lkn nikimwambia jion saa 10 tukutane sehemu fulan achelew saa waldk lazima atakuja na km kuna tatizo atatuma ata mtoto aje aniambie kinagaubaga ukimpa 2000 anasema asante kuna mwingine pia alikuwa hawez kufanya kitu bila kuniomba ushaur project zake zote mpaka zA ndan ya chama lazima aniambie mwanamke anaekupenda akikuudh lazma akuombe msamaha au akubembeleze

Ukiona bi dada linafanya makosa ya waz tena makusud na kesho akijirud haombi ata msamaha jua hamna kitu apo yaan unakuta anakuomba pesa ya nauli hatokezi na kesho akija anaanza na baby mambo atak kuongelea jana nn kilimkwamisha atak kuomb aMsamaha

Anataka ww ndio uombe msamaha ata km makosa ni yake jaman ifike wakati ata mtu ujawah kupendwa au kuwa ktk mapenz ya dhat muwe mnawashtukia hawa wez mfunguke akili mwanamke akileta upuuz piga chin km anauza aseme

NAWATAKIEN WEEKEND NJEMA niko somwwhete mnisamehe kwa wrong typing maana nimetype fasta sn

USHAUR TAFUTA MWANAMKE ANAEKUPENDA km hakupendi basi usimpe pesa kabla ujala mzigo
 
Hivi kweli...una hela mfukoni....NA UNADAI HUYU MWANAMKE ANAKUPENDA...uNatomba alafu unaenda kumnunulia pipi kifua tatu 100. Alafu unakija kuleta bandiko hapa Tushukuru kwa kidogo...hao Ni ambao huwa mnawatumia mkiwa hamna helaa....mnawaona si wa hadhi yenu...wao.ndo wanakuwa wanawakubali nyie kuliko nyie.mnavyowakubali...ndo.maana mnawaona hawana thamani.

Mkipata pesa mnahamia kwa wavaa mawigi ya Malaki na mnahonga Sana TU mpaka.mgari na viwanja.

WEWE HUNA HELA...UNATOMBA TU HAO WADADA KWAKUWA UNASAFISHA RUNGU...KWA Kuwadanganya na maneno maneno eti Mapenzi sio pesa.

THAMANI YA MWANAMKE KUTUNZWA TENA KUTHAMIIWA...Sasa Wewe unahonga.pipi kifua...unataka ASHUKURU ...

RUBBISH
Tatizo lako umeshaugua ule ugonjwa unaitwa MAPENZ PESA na nilielezea vzr sn apo juu ila tatizo lengine UNAPOPELEKWA TU UNAKWENDA KM LING'OMBE
Kwaza !!! Sijapinga kuhonga nilichopinga mtu unamhonga demu hela ujamla akikukimbia unaleta uzi humu nimeibiwa
Pili !! Ww hujawah kupendwa ndio kichwan una marasharasha kibao unapompa mpenz wako haina maana km umemuhonga io pipi NOO ni silent love kipind anaitafuna io pipi baadae unamwambia naiomba anaitoa mdomon mwake anaiamishia mdomon mwako kupitia denda
Tatu !!! Ukianza kympa mwanamke pesa hii ina maana kuu mbili either una pesa nying sn ivo ni km unamtupia au huna hadh ya kuwa naye ivo ili uwe nae lazima ulipie yaan ni bora io ya kuwa nazo nying uwe km unamtupia atakuheshimu sn japo anajua ww hzo pesa unantupia ika io ya pili mtu huna pesa unajitutumua kujifanya unazo unamhonfa demu laki uku umevaa tshirt ya sh 3000 apo lazima akudharau na ukizubaa mzigo upew

Mwisho nimalize kwa kusema tu wanaume ambao hamjawah kupendwa mnapata tabu sn pesa zenu badala mpeleke kwenye bajet zenu za maendeleo nyiny mnapeleka kwa jiran unahonga laki 50000 ya demu 50000 ya hawara wake maana jana kalalamika kuwa kafulia
 
Wewe...HUNA HELA USHAZOEA KUPATA VYA BURE... TENA UKISHATOMBA UNAWAZARAU TU...aaah yule haitaji.nguvu nyingi kumpata.

mwanaume NA TUMIE UANAMUME...nayo nipamoja na kujali ..kujali kwa hisia na matendo..(hEla).

WE WOMEN ARE PRICELESS CREATURES created for men to love and enjoy. But not for FREE...ukikipenda kitu utakigamia..

Lakini nisikulaumu Inawezekana uwezo wako nkutoa Ni pipi tatu za shilling Mia...ukizidi Sana Sayona ya miatano
Tatizo ndan ya jamii forum kila mtu tajir kila mtu genious kuna thread humu jamaa alielezea vzr nadhan ww mmojawapo wa wale wanaojitia wanazo na ku underestimate wengine eti pipi na sayona ata 1000 haifik hio pesa ata wapiga debe wanaweza kuiingiza ndan ya dk 30 tu
Turud kwenye mada sijakataa swala la kuhonga ila utahongaje na mzigo ujapewa na ata akikupa mzigo kwann umuhonge pesa nying kwan anakuuzia swala la matunzo ni juu yke mm kaz yngu kuongezea km anataka nguo ya 30k mm namsaidia 15k nyinginr aongeze mwenyewe

Wanaume ambao hamjabahatika kupendwa mnapata tabu sn
 
Sometimes, shida sio kutoa hela, utakuta mm nagharamia half kidume mwenzangu anapewa papuchi ya buree kabisa, bcoz anapendwa

Na unaeza honga lakini papuchi usipate, si ufala huo na hasara. CreditAnalyst
Nashukuru ww umenielewa mtu unahonga mzigo ujapewa ni ufala na hata akikupa usimpe zaid ya 10k kwa sababu ukimpa nying itakuwa ni sawa kakuuzia
 
Tena HUWA mnawapenda Hawa wanawake wavumilivu, wavumiliano shida...mnazaa na watoto kwa shida..mwanamke hata hela ya kununua khanga Hana...let alone mafuta mazuri yakujipaka..utamsifia Mapenzi sio pesa ..tuvumiliane.

SUBIRIA HUYU MWANAUME APATE hizo pesa...ndo ataanza kumuona huyu alimpendea Nini..hapo.ndo anakutana na mslay queen ...anawahonga hatari..maana huko ndo.anakuoonekana mwanaume mwenye.pesa...zake

Mke anaishia kuhama.makanisa akiomba mwanaume abadilike..nahapo.huyo mwanaume Kama hatahama kabisa..nakuhamia.kwa slay queen.
Hawa mnaowaita mslay queen ndio yale unakuta limepanga nyumba kinondon basi anajitutumua kuvaa nguo nzur poch nzur simu nzur nia yao ni moja tu kutaka kuonesha ana maisha ya juu sababu anajua akifanya ivo utaona aibu kumuhonga 10k utataka umuhonge pesa ndefu mm nshawashtukia nimla nampa 5000 tu nyingine akasake mwenyewe
 
Wewe...HUNA HELA USHAZOEA KUPATA VYA BURE... TENA UKISHATOMBA UNAWAZARAU TU...aaah yule haitaji.nguvu nyingi kumpata.

mwanaume NA TUMIE UANAMUME...nayo nipamoja na kujali ..kujali kwa hisia na matendo..(hEla).

WE WOMEN ARE PRICELESS CREATURES created for men to love and enjoy. But not for FREE...ukikipenda kitu utakigamia..

Lakini nisikulaumu Inawezekana uwezo wako nkutoa Ni pipi tatu za shilling Mia...ukizidi Sana Sayona ya miatano
Mimi nataka wadada kama wewe. Nikuhonge vizuri na wewe unipe vitu vizuri unikatie kiuno safi kabisa. Hakuna stress
 
Wanaume pesa zetu tunapeleka wapi? Ukisha weka bajeti ya maendeleo hizi zingine zinaenda wapi?

Mama yako anahongwa na baba yako. Dada yako anahongwa na mashemeji zako...sasa dada wa shemeji zako unataka wahongwe na nani?

Wakuu tuwapeni wanawake pesa tuacheni utani.
Hili ndio maana linafanywa zaidi na wazee wa makamo.
na vijana wachache ambao connection zilikaa sawa mapema.

Kwa umri wangu na malengo nilionayo sina pesa za kutapanya hovyo kwa malaya wa mjini! Wacha nionekane plaizi tu.😂😂😂 nitakuja kuzigawa kwenye batch ya awamu ya 7 ambapo wanangu watakuwa vyuoni sasa.
 
Tatizo lako umeshaugua ule ugonjwa unaitwa MAPENZ PESA na nilielezea vzr sn apo juu ila tatizo lengine UNAPOPELEKWA TU UNAKWENDA KM LING'OMBE
Kwaza !!! Sijapinga kuhonga nilichopinga mtu unamhonga demu hela ujamla akikukimbia unaleta uzi humu nimeibiwa
Pili !! Ww hujawah kupendwa ndio kichwan una marasharasha kibao unapompa mpenz wako haina maana km umemuhonga io pipi NOO ni silent love kipind anaitafuna io pipi baadae unamwambia naiomba anaitoa mdomon mwake anaiamishia mdomon mwako kupitia denda
Tatu !!! Ukianza kympa mwanamke pesa hii ina maana kuu mbili either una pesa nying sn ivo ni km unamtupia au huna hadh ya kuwa naye ivo ili uwe nae lazima ulipie yaan ni bora io ya kuwa nazo nying uwe km unamtupia atakuheshimu sn japo anajua ww hzo pesa unantupia ika io ya pili mtu huna pesa unajitutumua kujifanya unazo unamhonfa demu laki uku umevaa tshirt ya sh 3000 apo lazima akudharau na ukizubaa mzigo upew

Mwisho nimalize kwa kusema tu wanaume ambao hamjawah kupendwa mnapata tabu sn pesa zenu badala mpeleke kwenye bajet zenu za maendeleo nyiny mnapeleka kwa jiran unahonga laki 50000 ya demu 50000 ya hawara wake maana jana kalalamika kuwa kafulia
TU conclude...HUNA HELA YA MAANA.

Hela yako.wewe mwenyewe haikutoshi.

Hiyo ya KUHONGA Sana Sana utatoa kidogo TU...Tena ya vocha.

Na nyie ndo wengi...
 
Tatizo ndan ya jamii forum kila mtu tajir kila mtu genious kuna thread humu jamaa alielezea vzr nadhan ww mmojawapo wa wale wanaojitia wanazo na ku underestimate wengine eti pipi na sayona ata 1000 haifik hio pesa ata wapiga debe wanaweza kuiingiza ndan ya dk 30 tu
Turud kwenye mada sijakataa swala la kuhonga ila utahongaje na mzigo ujapewa na ata akikupa mzigo kwann umuhonge pesa nying kwan anakuuzia swala la matunzo ni juu yke mm kaz yngu kuongezea km anataka nguo ya 30k mm namsaidia 15k nyinginr aongeze mwenyewe

Wanaume ambao hamjabahatika kupendwa mnapata tabu sn
Sawa...kwaiyo Wewe Ni wale wanaume wakusaidiwa MAJUKUMU....MKE ALETE CHUMVI Wewe ulete Sukari...

Kiuhalisia Hujui MAJUKUMU ya mwanaume...Ndo nyie mnaoa wanawake ili msaidiane japo si mbaya lakini hayo sio maumbili....MWANAUME TAFUTA HUDUMIA FAMILIA...
 
Hili ndio maana linafanywa zaidi na wazee wa makamo.
na vijana wachache ambao connection zilikaa sawa mapema.

Kwa umri wangu na malengo nilionayo sina pesa za kutapanya hovyo kwa malaya wa mjini! Wacha nionekane plaizi tu. nitakuja kuzigawa kwenye batch ya awamu ya 7 ambapo wanangu watakuwa vyuoni sasa.
Hatukatai...hao ndo wanaume zetu...Za kutapanya hawana wanajitahidi na tunawependa na kuwajali na kuwaheshimuni Sana.

Wengi wanajitahidi Sana kujali familia zao.
 
Saa nyingine wanakuwa sio hata matapeli, ni anakuwa hajakupenda na wewe unajipendekeza, kwa hiyo anaamua kukukomoa kwa kukukomba pesa.
 
Back
Top Bottom