Wanaume Acheni Uongo na Kuwatesa Wanawake ๐Ÿ˜ 

Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
10,465
Points
2,000
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
10,465 2,000
Basi Jana nipo zangu mlimani city nasubiria bank wafungue nikawa nimekaa kwenye one of those banches ... Pembeni yangu kukawa na wadada wawili wanaongea

Me nilikuwa na head phones zangu kubwa kama DJ kwahiyo wakawa wanaongea Kwa ujasiri wakijua siwasikii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mmoja anamlalamikia mwenzake kuhusu mwanaume wake na wanaume anaowapata ๐Ÿ˜‚, mambo Yalikuwa hivi;

Mlalamikaji:
Yani wanaume NI waongo Sana,
Wanajua sana kudanganya wasichana, Kila mwanaume ninaempata sioni anaunafuu na aliepita,
Sikuhizi kupenda hawajui kabisa, Mapenzi Kwa wanaume wa kibongo NI ngono Tu na hawezi kulipa kitu mpaka ulale nae Kwanza
Nikisema hivyo namaanisha hivi:
1. Kutoa hela ya saloon mpaka u.to.mbwe
2. Kupelekwa shopping mpaka ahakikishe ameku.to.mba kufidia hela yote ya shopping
3. Kutambulishwa kwao mpaka akuto.mbe

Jaman mtatuto.mba mara ngap tupate ahadi zenu jamaa?
Kwanini msitufanyie vitu mpaka mtugalagaze?! Yani wanawake tumeshakuwa watumwa Kwa Wanaume sasa, hasa kama KIPATO CHAKO NI kidogo utaitumikia mb.o.o mpaka uchakae ๐Ÿ˜ 

How many locks does it takes to get to another?!

Wanaume sijui wataacha lini Uongo!
The end...

Jamaani wadogozangu wanaume mbona Mnapenda kumsaidia shetani KAZI, shida iko wapi?!

Wanaume wa zamani hawakuwa hivi, unafukuziwa mwanzo mwisho, unapelekwa mashoping mpaka unachanganyikiwa, kwanini msijirekebishe wanaume jamaaa๐Ÿ™„

Wanaume Acheni Uongo na kuwatesa wanawake ๐Ÿšถ

 
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
10,465
Points
2,000
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
10,465 2,000
Cc: 50thebe Jokajeusi Smart911 sab Ekuweme Aikambee Bujibuji Mshana Jr
Extrovert
Mtoto halali na hela
 
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
โœ…
Joined
Jul 22, 2018
Messages
734
Points
1,000
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
โœ…
Joined Jul 22, 2018
734 1,000
Aeeh
Basi Jana nipo zangu mlimani city nasubiria bank wafungue nikawa nimekaa kwenye one of those banches ... Pembeni yangu kukawa na wadada wawili wanaongea

Me nilikuwa na head phones zangu kubwa kama DJ kwahiyo wakawa wanaongea Kwa ujasiri wakijua siwasikii

Mmoja anamlalamikia mwenzake kuhusu mwanaume wake na wanaume anaowapata , mambo Yalikuwa hivi;

Mlalamikaji:
Yani wanaume NI waongo Sana,
Wanajua sana kudanganya wasichana, Kila mwanaume ninaempata sioni anaunafuu na aliepita,
Sikuhizi kupenda hawajui kabisa, Mapenzi Kwa wanaume wa kibongo NI ngono Tu na hawezi kulipa kitu mpaka ulale nae Kwanza
Nikisema hivyo namaanisha hivi:
1. Kutoa hela ya saloon mpaka u.to.mbwe
2. Kupelekwa shopping mpaka ahakikishe ameku.to.mba kufidia hela yote ya shopping
3. Kutambulishwa kwao mpaka akuto.mbe

Jaman mtatuto.mba mara ngap tupate ahadi zenu jamaa?
Kwanini msitufanyie vitu mpaka mtugalagaze?! Yani wanawake tumeshakuwa watumwa Kwa Wanaume sasa, hasa kama KIPATO CHAKO NI kidogo utaitumikia mb.o.o mpaka uchakae

How many locks does it takes to get to another?!

Wanaume sijui wataacha lini Uongo!
The end...

Jamaani wadogozangu wanaume mbona Mnapenda kumsaidia shetani KAZI, shida iko wapi?!

Wanaume wa zamani hawakuwa hivi, unafukuziwa mwanzo mwisho, unapelekwa mashoping mpaka unachanganyikiwa, kwanini msijirekebishe wanaume jamaaa

Wanaume Acheni Uongo na kuwatesa wanawake
 
Heavy Metal

Heavy Metal

Senior Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
166
Points
250
Heavy Metal

Heavy Metal

Senior Member
Joined Feb 7, 2017
166 250
Unajua yanayotutokea au we umesikiliza tu ya upande mmoja? Kwanini wanaume wanaongoza kujiua kwasababu ya mapenzi kuliko wanawake?Tunayo mengi hatuyasemi tunayahifadhi tu moyoni na badae kufa nayo!
 
legend Babushka

legend Babushka

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
409
Points
1,000
legend Babushka

legend Babushka

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
409 1,000
Wanawake: Ukiona mwanaume anakudanganya, fahamu ameshajua hawezi kuwa na wewe kupitia ukweli wake. Na kwa vile baadhi ya wanawake mkitongozwa mnaona ndio umepata chanzo cha mapato basi uwe tayari kufanya lolote kwa ajili ya hicho kitega uchumi.
 
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
โœ…
Joined
Jul 22, 2018
Messages
734
Points
1,000
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
โœ…
Joined Jul 22, 2018
734 1,000
Umeongea ukweli mtupu
Wanawake: Ukiona mwanaume anakudanganya, fahamu ameshajua hawezi kuwa na wewe kupitia ukweli wake. Na kwa vile baadhi ya wanawake mkitongozwa mnaona ndio umepata chanzo cha mapato basi uwe tayari kufanya lolote kwa ajili ya hicho kitega uchumi.
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
381
Points
1,000
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
381 1,000
Kwahyo mnataka mahusiano ya mapenzi bila mapenzi??

Nasi tunaenda km mnavotaka....na hkuna kipind ambcho wadada wanagongwa kwa mkopo km kipindi hiki cha baba jesca....

Hakuna kuoa siku hizi
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,580
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,580 2,000
Tatizo lenu Money Penny, tusipowagegeda mnatuona mafala, mnatuita majina yote mabaya, Mara buzi, Mara danga Mara nini sijui, wacha tuwamiminieni tu mbegu hadi muwe rojorojo mithili ya hamirojo
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
10,850
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
10,850 2,000
Kumbe ilikuwa ni ww nilikupita sana pale kama uliona mtu kapita kavaa tisheti nyeusi kwenye mfuko kifuani kuna nembo ya bibi na bwana basi ilikuwa ni mimi asee mbona nilivyokuona na unayoandika humu ni tofauti sana umri wako umeenda kidogo lakini sema tuu hiyo rangi ndo inakubeba
 
J

Jeremz

Senior Member
Joined
Jun 30, 2018
Messages
133
Points
225
J

Jeremz

Senior Member
Joined Jun 30, 2018
133 225
Ili tupate tabu na kukosa kabisa bas ni kuamua kusimamia ukweli. Mm mwenyewe nimesibitisha mala kazaa. Tatzo nmekua mkweli na nilipenda nipate mke anaenifaam pamoja na familia yangu.
Nisaidie hapa mtoa mada. Umemkuta msela anadrive prado anakutongoza kisha kuna jamaa anakuambia nategemea kupokea BMW mwishoni mwa wiki nakamilisha taratibu hii tabu itaisha. Amekutongoza pia ww utamkubalia yupi?

Ile prado kaazima Au ni fundi anatest. Mnapenda kudanganywaaa.
 

Forum statistics

Threads 1,303,525
Members 500,948
Posts 31,484,574
Top