wanaume acheni kuwasingizia wanawake;nendeni na nyie mkapime uzazi!!!muishi kwa amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume acheni kuwasingizia wanawake;nendeni na nyie mkapime uzazi!!!muishi kwa amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 28, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa leo nimeona niwaonelee haya wanaume..katika reseach nilio jaribu kufanya nimeona wanaume wengi wana matatizo ya uzazi kuliko wanawake...tatizo hili limepeleekea kuvunja ndoa nyingi sana hapa nchini...lakini uchambuzi unaonyesha kuna soln yake ila tatizo halisi lililopo ni kwamba wanaume wengi tumekuwa waoga kupima mbegu zetu.......
  Hili nimeliona majuzi tu kuna rafiki yangu ameoa mwezi wa pili..ndoa imekuwa na furaha sana lakini ilipokuja swala la mtoto mwanamke akaambiwa akapime...akaenda kwa dk mmoja anaitwa MGAYA...yuko pale namanga....anasaidia sana although kumwona uwe na mwekundu na brown kwa mara ya kwanza baada ya hapo...kila ukija inabakia mwekundu tupu...mwanamke akaleta matokeo kwa mumewe akamwambia alivyoelekezwa lakini dk akashauri na mumewe aje....wakasumbuana sana sana mwanaume kila kukicha niko busy....ndgu zangu huyu nishetani anaewaambia msiende kupima..kuzuia uzazi wako....,,,baada ya miezi kadhaa akafanikiwa kwenda.....akakutwa ana matatizo ya hormones za kike nyingi kuliko za kiume....na idadi ya uzalishaji mbegu umelikuwa mdogo sanansana....akapewa dawa hivi majuzi akaenda kupima akaakutwa zimerudi normal...sema mkia wa mbegu was vry thin..ambao aisumbui sana....na hormones zimeanza kurudi normal...maana inatakiwa kuwa 2-10 )%...yenyewe ilikuwa 1.9 ikapanda mpaka 4.2 na bado anaendelea na dose.....so wanaume tuache kuwasingizia wanawake..haya matatizo ya uzazi yapo kila sehemu na hivi sasa kwa mavyakula tunavyokula msishangae kuona haya yanayotokea.....
  Pia wanawake jitahidini kupima hormones.....ni tatizo lililokuwa katili pale kwenye ile hhospital kwa wanawake na wanaume.....
  Ndoa imara ni ile ya masikilizano na maelewano....nawatakia kila la kheri wanandoa/na watarajiwa
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Pdidy pamoja na ushauri uliowapa wanaume wenzio walikaa kimya
  hata kutoa jibu wakakataa.

  Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa kwenye suala la uzazi ni lazima
  wanaume wawe mstari wa mbele kwenda kupima.

  Hata kwenye mapenzi wanaume wanatakiwa wawe mstari wa mbele
  kufanya mapenzi salama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Sanene

  Sanene Senior Member

  #3
  Jan 24, 2014
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwel kabisa.wengine hawataki kusikia ukiwaambia neno kama hilo
   
 4. M

  Makanyagio Senior Member

  #4
  Jan 24, 2014
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona hujasema ni dawa gani alipewa tuanza kuzishambulia kabla ya kupima? Kama mzigo unashuka vizuri unapima nini sasa?
   
 5. Miss Neddy

  Miss Neddy JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2014
  Joined: Nov 3, 2013
  Messages: 14,658
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa sometime matatizo yanaweza kuwa upande we mume lakini mnajikuta mnaishi tu bila uchunguzi miaka nenda rudi lawama zote anapewa mke kumbe tatizo linatibika
  kwa mujibu wa watalaam mkiishi ndani ya ndoa miezi sita bila dalili za ujauzito mnatakiwa mkapime tatizo liko wapi
   
Loading...