Wanaume acheni kuwaita wake zenu majina ya bei rahisi

red fox

Senior Member
Jan 5, 2017
127
342
eti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY

Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???

*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,

*Muite japo _GUNIA LA MCHELE,MFUKO WA SUKARI,TRECTOR_ n.k*

Mfano unampigia simu unamwambia *nimekumisi gunia langu la misumari*
 
😁😁😀😀😀👊☝👆👆👆poa
 
Hivi hii unaanzaje kumuambia i miss u gnia langu la sembe.Ukirudi nyumbani itabidi uandae maelezo ya kujitosheleza kuwa ile sms haikuwa yake ni Paskali aliazima simu ndio akskosea number ikaja kwako
 
You are right 100%
 
Ueleze maelezo ya kutosha? kwani polisi huyooo? uoga huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom