red fox
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 127
- 342
eti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY
Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???
*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,
*Muite japo _GUNIA LA MCHELE,MFUKO WA SUKARI,TRECTOR_ n.k*
Mfano unampigia simu unamwambia *nimekumisi gunia langu la misumari*