Wanaume acheni dharau basi; Malizeni madeni yenu ya mahari

Kuna mzee mmoja alioaga miaka ya 40 huko na mahari ilikua ni Tsh150,yeye alilipaga sh 50 akawa anadaiwa sh100. Sasa mwaka juzi (2016) akaamua amalizie deni lake ,akamkabidhi mke wake Tsh500 akamwambia akate deni lake la mahari amrudishie sh400 yake .
Huaminifu imuendeeeee baba mkwe
 
Wanawake wakulipia full wako wapi?
Hiyo ni dalili ya muda wowote anaweza kurudishwa na hakuna kunaiana
Labda kwa dini yako, dini yangu nitakudai mpk siku utayovalishwa sanda ndugu zako watanilipa tu labda nitake kukusamehe.
 
Kwetu sisi wamasai ngombe tano na marupurupu wengi huchukui chombo Kama unadaiwa hata kilo ya sukari na Kama uliwahi kumdharau mtu wa boma Hilo lazima utozwe kwa Hali hii nmekubali Rwanda wanawake ndo wanatoa mahari!!!!!
 
Kwetu sisi wamasai ngombe tano na marupurupu wengi huchukui chombo Kama unadaiwa hata kilo ya sukari na Kama uliwahi kumdharau mtu wa boma Hilo lazima utozwe kwa Hali hii nmekubali Rwanda wanawake ndo wanatoa mahari!!!!!
Inabidi ukaoe huko
 
Ukitoa mahali yote unaongeza uchungu ,toa nusu hili kupunguza machungu cku mkikwazana.
 
Familia zinazodai masalia ya mahari ni masikini wa kutupa na si wa kuweka nao ukwe.
 
Kwan nyie wanaume alie waambia kulipa mahali yote ni dharau nan? Toka nimekuwa sikuwai kisikia mtu akisema hadaiwi mahali wote utasikia mahali nusu kwa nn lkn.
Hakunaga kutoa chote maana papuch lazm itestiwe kwanza na kitombeooo LA sivo......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom