Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Aisee
Mahali sio biashara... Mwanamke sio biasharaKwan nyie wanaume alie waambia kulipa mahali yote ni dharau nan? Toka nimekuwa sikuwai kisikia mtu akisema hadaiwi mahali wote utasikia mahali nusu kwa nn lkn.
Mwenye ufahamu wa hili naomba anieleshe,ivi kwenye gharama zinazotajwa kule unako peleka posa,zote utambulika kama mahali?ama kile kiasi anacho ulizwa yule anae poswa ndoo utambulika kama mahali?Kwan nyie wanaume alie waambia kulipa mahali yote ni dharau nan? Toka nimekuwa sikuwai kisikia mtu akisema hadaiwi mahali wote utasikia mahali nusu kwa nn lkn.
Vipi ulikua ushaipigia hisabati za budget nini.Kwan nyie wanaume alie waambia kulipa mahali yote ni dharau nan? Toka nimekuwa sikuwai kisikia mtu akisema hadaiwi mahali wote utasikia mahali nusu kwa nn lkn.
Umenikumbusha mtiti wa juzi ,bimkubwa kaitisha kikao katwambia mdingi akidedi ,asizikwe mpaka amalize deni la mahali sh 500, eti alimchukua kwa mkopoKuna mzee mmoja alioaga miaka ya 40 huko na mahari ilikua ni Tsh150,yeye alilipaga sh 50 akawa anadaiwa sh100. Sasa mwaka juzi (2016) akaamua amalizie deni lake ,akamkabidhi mke wake Tsh500 akamwambia akate deni lake la mahari amrudishie sh400 yake .
Mpeni buku kabisaUmenikumbusha mtiti wa juzi ,bimkubwa kaitisha kikao katwambia mdingi akidedi ,asizikwe mpaka amalize deni la mahali sh 500, eti alimchukua kwa mkopo