Wanatafutwa madalali wa huduma za kiulinzi/security services.

Tozonia

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
689
727
Kama kichwa cha habari kinavyosema,

4s STANDARD SECURITY SYSTEM & SERVICES LTD Arusha located in Njiro nanenane.

Ni kampuni inayojiusisha na huduma za kiulizi majumbani, makampuni, hoteli, gowdowns, mashuleni, watu wenye mashamba, escorts mbalimbali etc.

Hivyo basi, kama Kuna madalali wa kutoka sehemu popote anaeza kutafuta wateja (clients) kwaajili ya huduma tajwa apo juu haijalishi mteja yupo wapi huduma zetu zitamfikia popote alipo,

Madalali mnakua kama middleman/woman katika hii kazi na utakuja ofisini kwetu ukiwa na uhakika wakua umepata mteja nasio ubabaishaji, utalipwa kutokana na makubaliano/agreement ya wewe na kampuni na utakua compensated generously.

Hii nikwa wale wenye u serious na kazi zao. We are highly organised team and need to work with proffessional people.. Haijalishi kaliba yako au jinsi yako kama utakua unajua unafanya nini.

Utawasiliana na marketing officer 4s security ltd wa kampuni then ataku connect na manager ili mfikie Mutual agreement where both parties mnakua na win-win situation..

For those interested please call , Namba za kampuni ni Cell +255762468716 , marketing officer..

"Make hay while the sun still shines".
 
Back
Top Bottom