Wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahmood, Oct 30, 2009.

 1. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya sana porini,na baada ya ajali hiyo alitokea mkulima mmoja na alipoona hivyo alichimba shimo kubwa na kuwazika wote kwa pamoja.
  Baadaye polisi walikuja eneo la tukio na kumkuta huyo mkulima na kuanza kumhoji kuhusiana na ajali hiyo pamoja na maiti.
  na mahojiano yalikuwa hivi:-

  Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?
  Mkulima :- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa..
  Polisi :- Zipo wapi maiti?
  Mkulima :- Nimezizika
  Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa?
  Mkulima Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo!!! mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote.

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hee, basi na mzee mwenyewe alikuwa Mtanzania, maana hawa ndo wamezowea kuukubali uwongo wa wanasiasa, wanadanganywa na kuamini hata upupu!...te..he..te...
   
 3. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  You are welcome pakajimmy.
   
Loading...