Wanasiasa wetu WACHAFU wa mwili

Status
Not open for further replies.
binadamu kweli nongwa, sasa wakianza kupaka uturi, wakivaa vizuri, body safi mtaanza kusema pesa za wananchi zile, wasipojiweka vizuri mnawalaumu ! GIVE THEM A DAMN BREAK !

Pinda tu keshaanza kupendeza na watu washaanza kuchonga ! sijui suti ya kumeremeta mara hivi, mara vile !

Pinda sijui kuna mtu kamtonya JF kuna mshashi kakumind suti lako la acceptance speech bungeni ova la kutungua Manzese Uzuri.

Maana naona anavaa suti angalau zinazotazamika sasa, angalau zina neutralize sura la shoka lile.SAFI SANA.

Sasa mtu wa sura la shoka akivaa mi suti ya ajabu ajabu halafu na tabia zao wanasiasa kusalimia watoto siku moja watoto wananweza kulia au kukimbia wakifikiria Napoleon The Deevil mwenyewe kawajia.
 
Sasa mzee mwenzangu naona unatuchezea akili...



Sasa iweje tena upinduke?


Sidhani kama binafsi nilikuelewa vibaya, nadhani ulimaanisha hygiene. Kama ni uchafu wa kimaadili hoja nzima inapanguka.

Hiyo ndio namna nilivyoona mimi sasa kama wewe umeona vingine sawa

yote ni uhuru wa mawazo na maoni

halafu hilo la kupinduka nadhani bora tuliache considering unavyo piga vita ufisadi lakini la wanajeshi kupelekwa comoro hukutaka kuuliza maswali

lakini hilo hala si mahala pake

I respect your opinion though
 
Pinda sijui kuna mtu kamtonya JF kuna mshashi kakumind suti lako la acceptance speech bungeni ova la kutungua Manzese Uzuri.

Maana naona anavaa suti angalau zinazotazamika sasa, angalau zina neutralize sura la shoka lile.SAFI SANA.

Sasa mtu wa sura la shoka akivaa mi suti ya ajabu ajabu halafu na tabia zao wanasiasa kusalimia watoto siku moja watoto wananweza kulia au kukimbia wakifikiria Napoleon The Deevil mwenyewe kawajia.

sikujua kama waziri mkuu yupo hivyo ! sasa amekuwa hendisome boy !
 
...hivi ni mbunge au waziri gani ambae ni mnene kuliko wote??

itabidi tuanzishe "the biggest loser-TZ, MPs special."!! LOL.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani wana JF tumeishiwa na habari za kujadili hapa kwenye thread ya siasa kwa wakati huu

Inakuwaje katika hali tete kama ya sasa hivi mambo kibao ya nchi yetu yako hovyo lakini tunaweka nguvu nyingi sana kujadili personal issues.
Kama ni kujadili haya mambo tufanye ya muhimu kwanza na yakishaeleweka ndo tuhamie huku kwenye hili.

Pili niseme tu, sio kwa sababu Kikwete ni President ndio mnamtoa kwenye group hilo, nina wasi wasi na mitazamo yetu, kama mshasema wanasiasa basi na Kikwete pia yumo ndani pia, kwani kunao ambao wako smart zaidi ya huyu Msanii

Kwanini mnapendan sana kumfanya tofauti huyu jamaaa, wakati naye ndo wale wale, sasa basi mimi kama Baba H ninawaambia hivi, huyu Kikwete naye ni Fisadi, Mnafiki na hayo mengine mnayoyajadili na sio kumwondoa yeye tuuuu

Tufanye mambo mengine please
 
Game Theory::::::::
Mkuu Hoja Ni Nzuri Ila Kuna Mambo Machache Naomba Nisaidie Kwa Hili

1))nimeona Madada Wanafanya Mazoezi Na Figure Zao Zimekuwa Model
Sasa Nisaidie Huyu Mwenzangu Ofisini,,,ni Mwanamke Mzuri Msafi Tatizo Si Kiongozi Anatoa((kupunguza Ukali Wa Maneno)) Si Mchezo

2))nimeona Kuna Moja Umemwaga Kunamawaziri Wanene Wafanye Gyme
Mabosi Wangu Wawili Ni Vipipa Vya Kufa Mtu Sasa Sijui Inakuwaje Na Wanasmell Hny,,sasa Sijui Apo Unanishaurije Mimi Ambae Ndugu Yako Kwenye Unene Aipo Wala Mwembamba,,,,ila Kwa Hoja Hiyo Nakarimbia Kukimbilia Kwenye Unene Mkuu Naomba Msaada Wako

Mwanakijiji Tusaidiane Kwa Hili,,nahisi Lengo La Mkuu Ni Kuhusu Usafi Wa Mwili Haswaa Sasa Mnaonaje Tukasaidiana Kujua Nini Kinachofanya Watu Watoe Harufu Nini Cha Kufanya Na Manukato Gani Mazuri Ya Kupaka,,,ila Mtukumbuke Na Sie Wa Marashi Ya Mafuta Ya Nazi
Amin
Tuko Pamoja Game
 
GT, huko Dodoma na Dar kuna gym ngapi? Kutwa CCM na wapinzani wako mikoani wakipigana vijembe watapata muda wa kuingia gym?

Mtu kama anashindwa kujitunza ndio ataweza kutunza hela asizo na uchungu nazo?
 
GT, huko Dodoma na Dar kuna gym ngapi? Kutwa CCM na wapinzani wako mikoani wakipigana vijembe watapata muda wa kuingia gym?

Mtu kama anashindwa kujitunza ndio ataweza kutunza hela asizo na uchungu nazo?

Wabongo wanadhani eti ukianza kwenda gym utakuwa baunsa....
 
Wabongo wanadhani eti ukianza kwenda gym utakuwa baunsa....

ha ha wanajua ukienda gym basi unakwenda kunyanyua chuma tuuu....inanikumbusha vile vyuma vya makopo ya rangi na cement upande mmoja umezidi uzito.

Kikwete pamoja na kuvaa vizuri anakula zoezi i.e kuendesha baiskeli, kukimbia kidogo around Magogoni/Kivukoni front au kwenye treadmill?
 
Nakumbuka zamani Salim A. Salim nishakutana naye sana mitaa ya Salender Bridge / Bongoyo amekula track suit na wapambe kama wawili hivi wanapata ma jogging ya nguvu.

Mnyamwezi yule yuko too civilized kwa siasa za bongo.
 
Although there might be some truth about the obesity issue.. due to our culture ya kula hovyo na kutokufanya mazoezi... about watu kunuka nadhani basi itakuwa watu wengine wananuka tu.. hamna uhusiano na kuwa mwanasiasa au laa. Juu ya yote....hii thread iko very distasteful and irrelevant kwa maendeleo ya Nchi na wellbeing a watanzania... in short HAIHUSIKI NA LOLOTE.. Its slander and does not belong kwenye siasa za nchi.. JF inajishushia hadhi na seriousness in general when members post vitu kama hivi. Naombeni tuweserious na vita yetu dhidi a hujma,ubadhirifu na kupigania haki... hizi ishu ningine, waachieni UWAZI, KIU, RISASI etc..
 
Hii post ingejikita zaidi kwenye OBESITY ya hao vigogo zaidi ya kwenye kunuka kwao, kwani kunuka mostly ni kwa ajili ya unene.Na unapozungumzia vitu kama hivyo si jambo la busara kutaja majina kabisa..sema hoja yako ujumbe utafika kwa mlengwa.Hii ya kusema wazi kabisa Mzee Makamba ananuka mimi imenisononesha kweli..huyu mzee ana watoto ndugu na jamaa wa karibu wanasoma anatajwa kama SI unit ya kunuka bongo! GAME THEORY hapo ndugu umepotoka.Vinginevyo, swala la unene wa viongozi wetu is a concern to all of us. Hasa mtu kama Prez akiwa kipipa is disgusting....I think u know wat I mean...Ipo haja ya taifa kuanza kutoa elimu ya afya kwa msisitizo zaidi. Hee..hata mimi kakitambi kananisumbua kweli!..kakitokeza tu naaanza kula ugali kwa chumvi kananyea..najitahidi, naomba na mbunge wangu ajue hilo..kwamba kuwa mnene kuliko yule tembo uliyekuwa unamchunga ni aibu..mmh nkialu mkunza du!
 
Tunaweza kuwa tunawalaumu bure kumbe wengine wanakabiliwa na tatizo la kiafya. siamini kuwa viongozi wa ngazi tunayoizungumzia wanaweza kuwa hawajui umuhimu, au namna ya kujiweka wasafi. ikumbukwe kuwa kunukwa mwili nalo ni tatizo la kiafya. hivyo badala ya kuwalaumu tu, nadhani kwa wanaowafahamu wanaonuka, wawashauri wamuone daktari wafanyiwe uchunguzi, wanaweza kuwa na tatizo la kiafya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom