Wanasiasa wetu WACHAFU wa mwili

Status
Not open for further replies.

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
843
Nimebahatika kukutana na wanasiasa wetu kadhaa (chama tawala na upinzani) na nasikitika kubreak hii taboo ya kutosema lakini ukweli ni kuwa:

-WENGI WAO NI WACHAFU

-WANANUKA

-HAWAVAI VIZURI

-WENGI WAO NI OVER WEIGHT/OBESE (wanaume pamoja na wanawake)

-JK Peke YAKE NDIO HUWA ANAPENDEZA (no wonder wanamuita mzee wa pamba)




Sasa najuiliza mabilioni yaliyofujwa kujenga majengo ya Bunge ilishindikana vipi kuwapa elimu ya afya hawa wanasiasa?

Wengi wao walivyokuwa corrupt one would have thought wanaweza kupendeza lakini wapi

That said naweza kuconfess pia kuwa ni wachache sana ambao WASAFI hivyo sio wote

Naomba radhi kama nitakuwa nimewagusa wengi humu lakini i had to take out

BTW:
CONDI RICE anavyo jikeep fit
condi%20workout.jpg


condi%20barbell.jpg


condi%20fitness%202.jpg



wanasiasa wa FRANCE nao hawako mbali sana kwa kupendeza na kuangalia miili yao
fr185_254297a.jpg

RachidaBruniGREX_468x546.jpg


Waziri wa Sheria wa France bi RACHIDA DATI (ambaye ni mwarabu) na mkewe Sarkozy (bi Carla Bruni)


albanellDM1103_468x709.jpg

Huyu mweusi ni RAMA YADE (MSENEGALI) na ni waziri wa HUMAN RIGHTS


cabinetIJO2603_468x357.jpg

RAMA YADE na RACHIDA DATI


Zaidi ya kusema yale ambayo wengi hawapendi yasemwe nimeomba radhi kwa wale ambao mtakuwa offended. Na kwa jinsi wanasiasa wetu walivyokuwa CORRUPT i think it suits them. Leo wanataka waongezwe pesa huku kununua deodorant kwao big deal.Walikuwa kimya wakati pesa zinaibiwa:

BOT

ATC

BUZWAGI

IPTL

sasa uchafu wao si wa tabia tuu bali hata personal hygine.

NOTE: TEGEMEENI WATETEZI WA HAWA WANASIASA KUJA HUMU KUWATETEA NA KUDAI KUWA THREAD IKO BELOW THE BELT& SO ON

TEGEMEENI KUONA WATU WATAKAO KUWA OFFENDED KWENYE HILI KULIKO WIZI WA MCHANA WANAOFANYA HAWA WANASIASA



 
-WENGI WAO NI WACHAFU

-WANANUKA


Kuwaita watu wananuka!. no no no no man!. lini ulifanya research ya kuwanusa?. sample space ilikuwa na watu wangapi?, wangapi walikuwa wananuka kidogo, wangapi walikuwa wananuka sana na wangapi walikuwa hawanuki?.wangapi wa serikali kuu na wangapi wa serikali za mitaa?.

hapana mkuu, hii ni below the belt!. arrogance at the maximum.
dharau iliyokithiri.
 
mhhhhh???, I guess this is below JF standard
kweli bana: hii haijatulia hata kidogo
admin fanya uamuzi wa busara kuhusiana na hii thread. hii thread inashusha utu wa mtu.
sijui mtu unaweza ukajisikaje pale mtu akikusalimia kwa tabasamu tele halafu baadaye akakugukia na kukutamkia wazi wazi kwamba kaka/dada unanuka!.
 
Hay Guys,
this is personal stuffs, although it isimportant for someone to be real hygenic, but the matter is not real concerned with Tanzania Politics Board

Ya its real Good to say that for politician, but not in this thread, may be the writer of this thread could find another place within JF to put this otherwise submit it to Udaku magazine, Let first focus on Matter concerned with our Lovely Tanzania please

Cool, may be this is right
 
kaka Yangu Hapo:::: Mbona Hii Thread Yenyewe Inanuka Jamani Embu Isafishe Kwanza Ndugu Yangu,,,,,,
 
NILIPOSOMA HEADING NILIFURAHI NIKIDHANI SASA WANASIASA WETU WATAPONA NA GONJWA HATARI LA UKIMWI KUTOKANA NA KUWA SASA MAMBO YAO YAMEWEKWA BAYANA.....(hebu niweke mawazo yangu juu ya thread ambavyo ingekuwa)
WANASIASA WETU (wabunge/mawaziri) WAWE WA UPINZANI AU CHAMA TAWALA NI WACHAFU WA MIILI YAO KWA KUFANYA VITENDO AMBAVYO NI KINYUME NA MAADILI NA PIA VITA DHIDI YA GONJWA HATARI LA UKIMWI....WANASIASA HAWA WAMEKUWA WAKIONEKANA WAKIWA NA MAKAHABA AMBAO SIO WAKE ZAO AU WAUME ZAO......KIPINDI CHA BUNGE HUKO DODOMA MALAYA NA MAKAHABA WOTE MAARUFU HUKIMBILIA DODOMA AMBAPO KUNA WATEJA WA UHAKIKA(wabunge/mawaziri).....KATIKA MIJI YA ARUSHA,MWANZA,MBEYA NA HATA DAR AMBAPO KUNA MITAA MAARUFU KWA MACHUNGUDOA KUJIUZA KAMA MAKOROBOI,PAMBA HOSTEL,LAS VEGAS CASINO,KWA MACHENI NK......MAKAHABA HUPUNGUA MPAKA BUNGE LINAPOISHA...(wenyewe huita msimu).........!
JAMANI TUPONYE WANASIASA WETU KWA USHAURI KUWA KILA MMOJA AENDE NA MWENZA WAKE....! BRAVO TO MSEKWA& SITTA KWA KUWA HUWA NA WENZA WAO....![/BNILIFURAHI ZAIDI SIKU YA WAPENDANAO JINSI SITTA ALIVYOTANI KUWA YEYE HUWA ANASPEND NA MAMSAP.....!]
 
kaka Yangu Hapo:::: Mbona Hii Thread Yenyewe Inanuka Jamani Embu Isafishe Kwanza Ndugu Yangu,,,,,,

NADHANI SI BUSARA KUMWAMBIA MTU ANANUKA
Tusichanganye uchafu wa siasa na uchafu wa mwili jamani, kusema Makamba ananuka (mwili-wise) ni sawa kabisa na kumwambia hivyo baba yako au babu yako, kitu ambacho kwa maadili ya Kitanzania si sahihi labda US. Watu tunajua JF kunajadiliwa mada za maana ndio maana tunasoma na kuchangia, isije ikaonekana wote tunaochangia au kusoma ni wajinga. Sasa ili JF iendelee ku-shine tuache matusi (ya nguoni). Watu wengine wataogopa kusoma hoja za JF, si unajua tupo tofauti. Mtu mmoja anafurahi kutukana na mwingine anachefuka. Kwa hiyo mheshimiwa anaenusa watu, kwa heshima na taadhima a-withdraw usemi wake!! Nawasilisha:
 
Naona hili lilikuwa jipu ambalo lilikuwa linasubiri kutumbuliwa tuu

na tegemeeni watetezi wa hawa wanasiasa kuja humu na Munkar wa ajabu lakini huo ndio ukweli and they have to live with it


JK ameset the trend ya kuwa msafi na kuvaa vizuri lakini wafuasi wake serikalini wanaboa...sasa msishangae mnapoenda ofisi za serikali nia kukuta zinanuka JASHO

kama waziri ananuka jasho what do you expect from junior civil servant?
 
Its time waanze kujali image na afya zao,maana matatizo mengi katika uongozi wao ni kutokana na wao wenyewe kutokuwa fit kichwani na mwilini...ni vigumu watu kukuchukulia serious kama image yako iko poor,hata focus kuna wakati inapungua kama umejiachia achia ovyo na kunenepa nenepa ovyo na kuvaa vaa vibaya inabidi wapunguze.
 
GT,

Kuna vitu viwili vinavyo work against you.

-Kuna mtu kauliza data hapa, research sample space and all that, itakuwa ngumu kutoa hizi.

- Kuna mambo ya utamaduni, sisi tuna sacrifice ukweli kwa heshima, kwamba hata kama ni kweli kwamba Tanzania watu wengi (kuachilia viongozi) hawatumii deodorant licha ya jua kali na jasho, inaonekana impolite au hata arrogant / obnoxious kuanza kusema hivyo.Hatutilii maanani kuwa mtu kunuka ni offensive. Hii concept ngeni kidogo kwetu.

Having said that, nakumbuka zamani kulikuwa na article katika gazeti moja la kimataifa lilisema hii kitu, walitaja mpaka majina wakamtaja Sozigwa alikuwa anajifutia makamasi kwenye shati.Sasa sijui kama zilikuwa ni imperialistic overtures au kweli.

Mimi sioni tatizo tukiwa frank na ku address haya mambo, ila inabidi tulete data.Kwa hiyo Mzee Makamba ulimsogelea akawa hasogeleki au unachombeza tu?

Mzee usikute ana mirashi yote kuanzia mi 'Sachi mpaka ile ya kupuliza kwenye mshangingi wake ule.
 
Nakumbuka mzee mwenzangu ana msemo kuwa viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe; sasa sisi hatunuki? Watanzania wote wanavaa vizuri na hawanuki? Mara ya mwisho kupanda kipanya toka Mwenge - Posta, niliapa sitapanda tena.. lakini nilipofika mwisho wa safari nilijikuta mimi mwenyewe ninanuka! Ikabidi nichepukie pembeni kupata yale naukato ya kikopo sikumbuki jina lake yana harufu kaaali!!

Sasa yawezekana tunaonuka ni sisi lakini kwa vile tumeizoea harufu ya kunuka kwetu hatuisikii; hivi pale Kariakoo, Tandale, n.k ni watu wangapi ukikutana nao watakuwa wananukia?

Sasa, mtu anaposimama kuhukumu kuwa "fulani ananuka" tunajuaje yeye mwenyewe "hanuki" isipokuwa tuamini maneno yake kuwa hanuki? Mimi nimesema nanuka, mtajuaje kuwa sinuki?

Hilo la kuvaa nadhani kuna mawili kuwa wanasiasa hawavai nguo za kupendeza na hawamachizi n.k au wanasiasa wanavaa matambara na nguo kukuu zenye viraka. Hoja ya mwandishi sijaelewa kwenye hili, kwamba wanavaa nguo chafu zisizofuliwa, n.k au hawavai wakatoka bomba?
 
Narudia tena

sikuanzisha hii thread kuwatukana wanasiasa wetu kama ambavyo baadhi wanataka kuipindisha lakini kutokana na tabia zao of recent nadhani its fair kuwaangalia kuanzia usafi wa miili yao mpaka tabia zao za kutetea uozo uliopo serikalini

inshort zote zinanuka na hili tutalisema mpaka warekebishike




 
Duh!!! Nadhani hapa wacha nipite baada ya kuweka sahihi kwamba nimepitia no comments

...ukiwaona wakumbushe mazoezi ili kuokoa pesa zetu za kwenda kufanya check up london,waambie wavae vizuri pia na wazingatie usafi wa mwili ili waheshimike!
 
binadamu kweli nongwa, sasa wakianza kupaka uturi, wakivaa vizuri, body safi mtaanza kusema pesa za wananchi zile, wasipojiweka vizuri mnawalaumu ! GIVE THEM A DAMN BREAK !

Pinda tu keshaanza kupendeza na watu washaanza kuchonga ! sijui suti ya kumeremeta mara hivi, mara vile !
 
Sasa mzee mwenzangu naona unatuchezea akili...

Nimebahatika kukutana na wanasiasa wetu kadhaa (chama tawala na upinzani) na nasikitika kubreak hii taboo ya kutosema lakini ukweli ni kuwa:

-WENGI WAO NI WACHAFU

-WANANUKA

-HAWAVAI VIZURI


Sasa iweje tena upinduke?
sasa uchafu wao si wa tabia tuu bali hata personal hygine.

Sidhani kama binafsi nilikuelewa vibaya, nadhani ulimaanisha hygiene. Kama ni uchafu wa kimaadili hoja nzima inapanguka.
 
Nakumbuka mzee mwenzangu ana msemo kuwa viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe; sasa sisi hatunuki? Watanzania wote wanavaa vizuri na hawanuki? Mara ya mwisho kupanda kipanya toka Mwenge - Posta, niliapa sitapanda tena.. lakini nilipofika mwisho wa safari nilijikuta mimi mwenyewe ninanuka! Ikabidi nichepukie pembeni kupata yale naukato ya kikopo sikumbuki jina lake yana harufu kaaali!!

Sasa yawezekana tunaonuka ni sisi lakini kwa vile tumeizoea harufu ya kunuka kwetu hatuisikii; hivi pale Kariakoo, Tandale, n.k ni watu wangapi ukikutana nao watakuwa wananukia?

Sasa, mtu anaposimama kuhukumu kuwa "fulani ananuka" tunajuaje yeye mwenyewe "hanuki" isipokuwa tuamini maneno yake kuwa hanuki? Mimi nimesema nanuka, mtajuaje kuwa sinuki?

Hilo la kuvaa nadhani kuna mawili kuwa wanasiasa hawavai nguo za kupendeza na hawamachizi n.k au wanasiasa wanavaa matambara na nguo kukuu zenye viraka. Hoja ya mwandishi sijaelewa kwenye hili, kwamba wanavaa nguo chafu zisizofuliwa, n.k au hawavai wakatoka bomba?


Zote mbili mzee

kuvaa appropriate-waziri anaenda kwenye construction site havai high viz jacket wala hard hat

waziri ananuka kikwapa/jasho

sasa hawa watu wanataka kuongezwa pesa na kutwa nzima wanama air condition sasa kama si uchafu nini?

na muhimu ziaid ni ni a zao zilivyo chafu kwa kukubali status quo ili kumaintain lifestyles zao

this is a disgrace

kwa upande wa MAWAZIRI/WANASIASA WANAWAKE

wengi wao ni ma OVERWEIGHT sasa that says alot
sisemi wote wavae kama kina Rachida Dati lakini I am sure wanazo access za gym and so on

hawa watu ni reflection zetu na kusema ukweli i am not impressed nao kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom