Wanasiasa wetu ni wajinga!

Freddy81

Member
Feb 3, 2009
99
3
Ndio kwani uongo? Hawajui kama kwa sasa siasa ni sayansi, wao wanajua kubwabwaja ndio siasa yenyewe..hawafanyi utafiti, wanatoa data za uongo kabisa ili wananchi wazipende, hawoni hata kidogo kama maamuzi wanayofanya yanaleta athari zipi katika jamii,

Zamani tulisema kuwa mpira ndo mchezo wa wajinga..lakini sasa SIASA NDIO MCHEZO WA WAJINGA.

Mnasemaje?
 
Please qualify your statement, at least gives some examples of where you think wanasiasa wetu wamebwabaja tu ukionyesha the truth compared to what they said. You can't just post such type of statement without any justificaton.
 
Mnasemaje wadau?

Mimi nasema hivi: wanasiasa wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi kwa sababu wanatoka kwenye bwawa hilo hilo tulilomo sisi. Kwa hiyo basi, kama wao ni wajinga na sisi ni wajinga vilevile. Wanasiasa ni viongozi na wanaongoza wananchi na nijuavyo mimi mjinga hawezi kumwongoza mwerevu hata siku moja achilia mbali miaka nenda rudi. Kwa kifupi Miafrika ni mijinga!!!!
 
Mimi nashangaa mnasema wajinga wakati nynyi ndo mliowachagua sasa hapa mjinga ni nani?mwerevu atachaguaje mjinga bwana?
 
Kwa kuwaruhusu kufanya hayo wanayofanya huku tukiwanyamazia au kuendelea kuwachagua haohao, WAO NI WEREVU SISI NDIO WAJINGA.
 
wajinga ni wote

Sisi ni wajinga zaidi wao ni afadhali na sisi ndio maana tumewapa kura zetu. Katika kundi letu lote tumeona wao ndio afadhali ndio maana tunawaunga mkono kila mara na uchaguzi ujao tutawapa tena kwa kukubali hayo wanayotufanyia.
 
Mimi nasema hivi: wanasiasa wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi kwa sababu wanatoka kwenye bwawa hilo hilo tulilomo sisi. Kwa hiyo basi, kama wao ni wajinga na sisi ni wajinga vilevile. Wanasiasa ni viongozi na wanaongoza wananchi na nijuavyo mimi mjinga hawezi kumwongoza mwerevu hata siku moja achilia mbali miaka nenda rudi. Kwa kifupi Miafrika ni mijinga!!!!
safi sana mkuu J.
unajua bwana kitendo cha Mtu kuwa mjinga ni kutojua kama yeye ni mjinga. tatizo la sie miafrika ni kwamba mingi yetu hatujijui kwamba ni mijinga ndo maana ni mijinga. siku tukija kujua kwamba sisi ni wajinga basi hatutakua wajinga.
tunalalamika kwamba wanasiasa wanatuona sisi ni wajinga, lakini sisi wenyewe hatujioni kwamba ni wajinga. wakati khanga na tshirts zinapogawiwa kwenye kampeni, watu wengi hawajui kwamba wanafanya ujinga wanapokubali kubadilishana zawadi na hizo kura zao kwahiyo wanaendelea kuwa wajinga.
tufanye nini basi? sisi wachache ambao tumeshajijua kwamba ni wajinga kwa kitendo chetu cha kukipigia kura CCM na kikatufikisha hapa tulipo tuwasaidie kuwaelimisha wadanganyika wengine KUJIJUA kwamba wao ni wajinga ili watoke kwenye ujinga. wakishatoka kwenye ujinga hawatachagua ujinga. matokeo yake hatutakuwa na viongozi wajinga kama mtoa hoja alivyotanabaisha hapo juu.
asanteni
 
[/COLOR].[/COLOR][/FONT][/SIZE]
miaka ipi hiyo mlikuwa mnatumia huu msemo?mimi sina kumbukumbu!




........mimi nadhani SIASA NI MCHEZO WANAOCHEZEWA WAJINGA!kibongo bongo lakini


Na ukiwa wewe ni mjinga, hujui jinsi gani ujinga wako haujulikani na wajinga ndio unakua mjinga zaidi ya wajinga wote kiasi cha kutuma ujinga wako kwenye forum.
 
SIASA NI MCHEZO WANAOCHEZEWA WAJINGA!

bravo!!!!!
wa mbagala,kipawa,musoma na wengine tutasahau machungu yetu next election????????
 
hapana jamani ....mi nadhani siasa sio mchezo wa wajinga ila wajinga ndio waliwao....yule anaekubali kudanganywa ndio mjinga.....mfano wewe mwandishi kila mwaka unaichagua ccm pamoja na madudu yote zaidi ya miaka 40 tangu uhuru wewe ndio mjinga.mwanasiasa ni mwelevu kwasababu amefanikiwa kukurubuni..........siasa ni mchezo mzuri ila tatizo kuna rafu nyingi kwenye huu mchezo....
 
Mimi nashangaa mnasema wajinga wakati nynyi ndo mliowachagua sasa hapa mjinga ni nani?mwerevu atachaguaje mjinga bwana?
Kipindi Mwalimu akiwa hai, Arusha walimchangua Makongoro Nyerere..Nyerere aliwaambia watu wa arusha ni wajinga kwa kumchangua Makongoro...akafanya fitina akamtoa ubunge mpaka leo huwa najiuliza kwani aliwaambia wakazi wa arusha ni wajinga kwa kumchangua mwanae...labda leo nitapata jibu
 
wewe unaechagua wajinga ndio mjinga........na mwanasiasa naepata 85% ya kura za wajinga ni mjinga pia....
 
Mi nadhani ulitakiwa kusema katiak heading yako kuwa viongozi wetu wanachaguliwa na wananchi wajinga.
 
Back
Top Bottom