Wanasiasa wetu na maji ya ziwa Victoria

BondJamesBond

Member
Jul 6, 2011
85
60
Mnakumbuka miaka ya nyuma wakati wa Mkapa kulikuwa na mikakati mingi tuu ya kutumia maji ya ziwa Victoria kwa ajili ya kilimo na kadhalika.

sasa kwa sababu CORRUPTION is our middle name naona kila kitu kimekuwa kimya na hata hatujui national policy ya maji ya hili ziwa ni ipi na mbaya zaidi kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA hawajatuletea tamko au policy yoyote juu ya haya maji

As it is Uganda wanamalizia kujenga Bujagali dam, Ethiopia nao wako njiani kujenga the biggest dam in Africa, eSudan nao washajenga moja na wako njiani kujenga mengine mawili

sasa kama CCM wameshindwa kwa nini CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani wasije alternative policy juu ya hili ziwa?

wasi wasi wangu nahisi wanasiasa wetu washanunuliwa kama walivyonunuliwa kwenye issue ya kujenga barabara serengeti kwa ajili ya maslahi ya mataifa ya nje na NGO zao
 
Hapa uliwalenga CDM tu wala usivunge! Funguka mkuu tukuelewe! Unajua sera zinatungwaje wewe? Kajipange upya mama!
 
Hapo CDM wameingiaje???? uwe na wewe mwelewa usiwe kama BOYA ukiambiwa jambo tumia na wewe akili yako kulichunguza.
 
Back
Top Bottom