Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

simba jike

Senior Member
Mar 23, 2017
182
535
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.

Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.

56157a0557191a24f9fe692c5687fa52.jpg

d7703cdd8eb0b40d002e06f49e64777b.jpg

9edba1601665820233e165647a7d7e2e.jpg

87a9a61945535b4fd70674e148219343.jpg

79e64d010b53d4dfa4ee53ca81a569e7.jpg

d30989ee2ac31f7fa5cad8e23d0c08a7.jpg
 
Ubaya huko wapi hapo?
Mbona haya wanaume wengi tunayafanya sema kutokuwa maarufu ndio kunatusaidia siri zetu zisibumbuluke.

Huyo kwingu sema tatizo lake umaarufu ila Mimi sijaona kama tatizo sana kwa anayoyafanya ukizingatia bado "kijana".

Labda kama wewe ni mke wake umeumia.
Sasa Mtoto kama huyo mwenye gauni la bluu unamuachaje kwa mfano?
 
Back
Top Bottom