Wanasiasa watatumaliza watanzania maskini, kauli ya Pinda si ya Kiungwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa watatumaliza watanzania maskini, kauli ya Pinda si ya Kiungwana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jan 29, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kila mtanzania sasa anajua ya kwamba madi ya madaktari ni ya msingi. lakini kwa kauli ya mizengo pinda ya leo ...kweli nimeamini baadhi ya wanasiasa hawana utashi wa kufikiri na hivyo kutoa maamuzi sahihi. Hao wanajeshi madaktari anaodai atawaleta wanatoka wapi? ina maana takwimu zinazoonesha ratio ya madaktari kwa idadi ya wagonjwa ni za uongo...........kumbe madaktari wanajeshi ni wengi?

  namfananisha Mizingwe Pindapinda kama Mfalme **** wa nchi wa Kichaa kwa Maamuzi yake yasiyofikirisha ubongo.
   
Loading...