Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

kuuuu

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
526
500
spend watu ka ww hiv unaejua thaman ya mtu baada ya kufa,,leo hii unaona tulipofikishwa sasa..
Makala nzuri.

Hata mimi nilipingana na Magufuli kwenye suala la corona ila naomba nikiri kwamba mwenzetu alikua mbele ya wakati, aliwahi kuona mbele. Leo hii ndio namuelewa jamaa.

Sasa leo Mzanzibari anakuja kukopa hela za kukabiliana na corona anaenda kujenga madarasa utafikiri corona iliangusha madarasa ama madaraja na corona yenyewe haipo.

Anyway, wapumzike kwa amani.
 

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,027
2,000
kuamini chochote tu hata kama cha hovyo? Kama ni kuamini mambo ya msingi kwenye ustawi wa nchi Magu anakosa sifa. Alikuwa mchoyo akiwekeza kujijenga zaidi yeye kuliko kuimarisha taasisi. Yaani udikteta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom