Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.

2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.

3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.

4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.

5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.

Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.

Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu Katiba na haki katika taifa ili.

R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.
Muondoe chifupa hapo
 
Nimeshangaa Mtikila anakosekanaje hapo halafu huyo mropokaji anakuwepo
Just imagine ndugu yangu. Nahisi jamaa anajua kuwa hawa hawakustahili kuwa hapa. Ila kawaweka ili kuwavuta wachangiaji, na vile vile kukwepa mishale ya genge la mropokaji. Maana uzi ungechafuliwa kinoma.
 
JPM alipewa bilioni 14 za msaada za corona akazielekeza kwenye mambo mengine, hakwenda kukopa hela za corona ajengee madarasa, kwani corona ilikua inaangusha madarasa?
Kosa lake ni kuchukua pesa na kutokusema halafu anawavimbia wazungu hao hao!, wakaja kuanika kila kitu hadharani.

Mkuu mahaba yako kwa JPM yanakupofusha macho kabisa kwenda kufanyia mambo mengine na kujengea madarasa kuna tofauti gani?.
 
JPM hakwenda kukopa kujenga madarasa, aliletewa msaada na wala hakuomba. Ukiangalia zile 7m usd zilitolewa karibu kila nchi na sio Tanzania tu.

Sasa huyu kaenda kukopa ajenge madarasa, swali la kujiuliza corona ilikua inaangusha majengo ama madaraja ama inaua watu n kuharibu biashara kama utalii na mambo kama hayo?

Mfano, Kenya, uganda na nchi nyingine zilizokopa hela ya corona zilisaidia ku boost sekta zilizoumia kwa corona kama utalii, hotels nk kuwapa subsidy ili wasifunge biashara na waendelee kulipa mishahara na sio kwenda kujenga madarasa. Madarasa na madaraja yaliathirika vipi na corona?

Mimi sina mapenzi na JPM, mimi nachambua hoja.
 
Mkuu kwenda kukopa na kuletewa msaada haijalishi kama matumizi yake ni yale yale. JK aliita 'kuhemea'.

Kumbuka kuwa JPM yupo futi sita chini ya ardhi, hana ubinadamu tena. Hivyo hasira zako kwa huyu Mama ni kama kupiga ngumi ukuta, wastage of time.

Katika akili za kibiashara huyu Mama anamzidi JPM mara nyingi sana. Haui biashara anafanya unakuwepo mzunguko kuliko JPM aliyesema matajiri wataishi kama mashetani. Kashindwa kufikiria kuwa tajiri mmoja akiishi kama shetani hao wafanya kazi wake elfu kumi watakufa kabisa!. Huo ni ukosefu wa akili za kibiashara aliokuwa nao JPM. Alikosa utu kwa wote na sio kwa wachache tu.
 
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.

2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.

3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.

4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.

5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.

Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.

Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu Katiba na haki katika taifa ili.

R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.
Umeandika bila bias Safi Sana umechambua kitu Kama kilivyo hongera Mkuu wa kazi ukinda hvi utakuwa kiongozi mzuri sana
 
Mkuu kwenda kukopa na kuletewa msaada haijalishi kama matumizi yake ni yale yale. JK aliita 'kuhemea'.

Kumbuka kuwa JPM yupo futi sita chini ya ardhi, hana ubinadamu tena. Hivyo hasira zako kwa huyu Mama ni kama kupiga ngumi ukuta, wastage of time.

Katika akili za kibiashara huyu Mama anamzidi JPM mara nyingi sana. Haui biashara anafanya unakuwepo mzunguko kuliko JPM aliyesema matajiri wataishi kama mashetani. Kashindwa kufikiria kuwa tajiri mmoja akiishi kama shetani hao wafanya kazi wake elfu kumi watakufa kabisa!. Huo ni ukosefu wa akili za kibiashara aliokuwa nao JPM. Alikosa utu kwa wote na sio kwa wachache tu.
Wewe akili huna, mtu kua kwenye futi 6 kila binadamu atakuwa hivyo hata huyo kibwengo wako hujui kama kesho atakua huko au lah.

Mtu kushangilia kifo cha mtu mwingine ni utaahira wa kiwango cha juu sana maana hata yeye atakufa. Hilo la kwanza. Maana hata Nyerere ambae watanzania wengi wanamp.nda ama mtume Mohamed wote ni marehemu wako kwenye futi 6. Lets take kifo out of the equation maana kujadili kifo ni kuonyesha jinsi gani ulivyo na akili ndogo.

Jambo lingine ambalo linaonyesha huna akili ni kutaka kulinganisha akili ya huyo mwanamke na JPM. Nilishakwambia mimi sio mpenzi wa JPM ila nina uhakika 100% huyo mama hana akili wala uwezo wa kumlinganisha na JPM. Sasa huyo mama ana akili gani jamani 😂? This is hilarious.
 
Kosa lake ni kuchukua pesa na kutokusema halafu anawavimbia wazungu hao hao!, wakaja kuanika kila kitu hadharani.

Mkuu mahaba yako kwa JPM yanakupofusha macho kabisa kwenda kufanyia mambo mengine na kujengea madarasa kuna tofauti gani?.
Zile pesa hazikutolewa kwa siri na wazungu gani walikuja kumuumbua?

Mbona ilikua obvious hata kwenye website ya IMF ziliwekwa nchi zilizopewa hizo hela, ilikua wazi. Wajinga kama wewe ndio wanasubiri waambiwe ili wajue, wenye akili hua hatusubiri tuambiwe, hua tunatafta kujua wenyewe. Sasa wewe kama unategemea kila kitu ukione tbc ama itv utaishia kudanganywa sana.

Jambo lingine linaloonyesha uko na akili mgando ni kulazimisha kila anaemponda huyo Mzanzibari wako basi alikua anampenda JPM, hizi ni akili fupi.
 
Wewe akili huna, mtu kua kwenye futi 6 kila binadamu atakuwa hivyo hata huyo kibwengo wako hujui kama kesho atakua huko au lah.

Mtu kushangilia kifo cha mtu mwingine ni utaahira wa kiwango cha juu sana maana hata yeye atakufa. Hilo la kwanza. Maana hata Nyerere ambae watanzania wengi wanamp.nda ama mtume Mohamed wote ni marehemu wako kwenye futi 6. Lets take kifo out of the equation maana kujadili kifo ni kuonyesha jinsi gani ulivyo na akili ndogo.

Jambo lingine ambalo linaonyesha huna akili ni kutaka kulinganisha akili ya huyo mwanamke na JPM. Nilishakwambia mimi sio mpenzi wa JPM ila nina uhakika 100% huyo mama hana akili wala uwezo wa kumlinganisha na JPM. Sasa huyo mama ana akili gani jamani 😂? This is hilarious.
Wewe ndio huna akili unajaribu kujifanya haupo upande wa JPM kumbe ni muumini tu kama waumini wengine.

Nilivyosema kuwa JPM keshatangulia mbele za haki wewe ndio umeelewa vibaya. Kwamba hii ni awamu nyingine ndio nilichomaanisha.

JPM hakuwa na approach nzuri ya uchumi, aliamini kwenye visasi na kukomoana. Na hiyo sio dhana sahihi ya kiongozi anayeamini kwenye biashara na uwezo wa masoko kuiendesha nchi.
 
Zile pesa hazikutolewa kwa siri na wazungu gani walikuja kumuumbua?

Mbona ilikua obvious hata kwenye website ya IMF ziliwekwa nchi zilizopewa hizo hela, ilikua wazi. Wajinga kama wewe ndio wanasubiri waambiwe ili wajue, wenye akili hua hatusubiri tuambiwe, hua tunatafta kujua wenyewe. Sasa wewe kama unategemea kila kitu ukione tbc ama itv utaishia kudanganywa sana.

Jambo lingine linaloonyesha uko na akili mgando ni kulazimisha kila anaemponda huyo Mzanzibari wako basi alikua anampenda JPM, hizi ni akili fupi.
Unaishiwa hoja unahamia kwenye matusi na lugha zisizo na staha. Rudi kwenye hoja mkuu achana na mapovu haya.

Sio kweli kwamba zile pesa zilijulikana zilipotoka Ulaya na kuja Bongo. Ni baada ya mzungu mmoja kuanika ukweli hadharani kwamba pesa zimetoka EU na zimekuja serikali ya Tanzania ndio kila mtu akashtuka.
Tofauti na Mama Samia ambaye amekwenda UN akahutubiwa na kupewa hizo pesa na anazitumia kadri atakavyo akiwa ndio kiongozi mkuu wa nchi.

Wewe ndio unazo akili mgando unayeshindwa kumuelewa mtu unaishia kusema analazimisha. Mzanzibari wako ni kauli yenye chuki ndani yake.

Halafu unajifanya unazo akili kubwa za kuweza kuuficha ufuasi ulionao kwa JPM.
 
Kusema yule mama ni Mzanzibari kuna chuki gani? Hata yeye alisema juzi ni Mzanzibari, hilo liko wazi. Yeye ni Mzanzibari mimi ni mtanganyika, hilo halina ubishi.

Ndio maana nakwambia wewe utadanganywa sana, kwamba mama alienda kuhutumia UN ndio akapewa pesa, zile barua za kuomba hizo hela WB hukuziona? Halafu kusema hadi mzungu ndio alitoa siri inaonyesha bado wewe ni mtu wa kudanganywa tu. Kwa taarifa yako hizo habari zilikua public muda mrefu. Jitahidi uwe unajisomea majarida na mitandao mbali mbali uwe unapata taarifa mapema usiwe unadanganywa. Maana wewe unaonekana ni mtu unaesubiri kulishwa na sio kutafta.

Kufurahisha nafsi yako ngoja nikubali kwamba mimi ni mpenzi wa JPM. M aama watu wenye akili fupi hua hamchambui hoja mnafanya character assassination.
 
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.

2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.

3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.

4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.

5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.

Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.

Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu Katiba na haki katika taifa ili.

R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.
Wapumzike kwa amani
 
Wewe ndio huna akili unajaribu kujifanya haupo upande wa JPM kumbe ni muumini tu kama waumini wengine.

Nilivyosema kuwa JPM keshatangulia mbele za haki wewe ndio umeelewa vibaya. Kwamba hii ni awamu nyingine ndio nilichomaanisha.

JPM hakuwa na approach nzuri ya uchumi, aliamini kwenye visasi na kukomoana. Na hiyo sio dhana sahihi ya kiongozi anayeamini kwenye biashara na uwezo wa masoko kuiendesha nchi.
Sasa huyo mama amekuja na approch gani nzuri ya uchumi mkuu?

Mfano, biashara za utalii na hotels zimeathirika vibaya sana sababu ya corona, nchi nyingine zimetoa misaada ya kifedha kwa sekta ya utalii, yeye mama amezisaidiaje hizo sekta. Hela ya mkopo wa bila riba wa WB badala asaidie sekta ya utalii yeye ameenda kujenga madarasa, kwani corona iliathiri ama ilikua inaangusha madarasa? Hizo sekta zitarudi lini barabarani?

Halafu unasema eti ama approch nzuri ya biashara, acha utani basi.
 
Ana mtoto mchanga...Sasa sijui kaolewa kimya kimya au kaamua kuongeza tu familia....
Kina jamaa mmoja kanijibu zito kabwe ndy alimnyakua baada ya deo kufariki.. so Kwa muktadha huo nadhani zitto ndy mwenye mtoto
 
Back
Top Bottom