Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,291
Ok mkuu ila kimtazamo wangu naona kuwa mch Mtikila alikuwa na misimamo thabiti zaidi ya baadhi ya uliowaweka hapa. Ila ndo hivyo tena watanzania wengi tushaaminishwa tofauti, kwahiyo mchango na misimamo yake thabiti haiwezi kuonekana. Wanaonekana wale wanaotoa chochote ili waandikwe au kusifiwa na kundi fulani.Chifu ujaelewa uzi wangu achana nao
Nimekwambia mwanasiasa lazima awe na Jambo moja analolisimamia kwa ukamilifu hata Kama ana makandokando mengi!!
Nyerere alikuwa na makosa mengi tu
The same kwa Sokoine na Magufuli lakini Kuna baadhi ya Mambo waliyasimamia ipasavyo bila kujali Nini kitatokea kwao.
The same kwa Mbowe na Lissu kwenye swala la justice na construction!!
Kama ujanielewa basi uwezi kuelewa Tena.