Wanasiasa wanaoshindwa kufanya mikutano wamedoda si kwamba wamekatazwa!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Wanasiasa wanaoshindwa kufanya mikutano majimboni wawe wa CCM au Upinzani si kwamba wamekatazwa bali kiukweli hawakubaliki majimboni yaani ' wamedoda' . Wale wa upinzani wanadai kuna katazo la Rais, hii si kweli mbona mbunge wa Ukonga Mwita Waitara anafanya mikutano kila uchao na hapati usumbufu wowote! Niwaase wabunge wetu hata kama wanajua wazi hawatarudi tena bungeni, hicho siyo kigezo cha wao kutofanya mikutano na kuleta mirejesho ya mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya mfuko wa jimbo.
 
Ekotiteee... Ngoja na mimi kesho nianzishe thread ya kisiasa...

Maana naona 2020 ishafika tayari...
 
Ila ccm sijui mñafikiria nini. Au huishi nchini na inasimuliwa tu?
 
Back
Top Bottom