Wanasiasa wananyemelea Jimbo la Mwakyembe Kyela!!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Kundi la wanasiasa wamejitokeza na kujifanya wanajali afya ya Mwakyembe wakati hawamujuli hali Jk ambaye amekuwa anaanguka.Ju
 
Juzi mgomo wa Madaktari umetokea watu wamekufa sana lakini wanasiasa haohao walikuwa wanadai posho badala ya kuwaokoa wagonjwa.Hakuna Mbunge hata mmoja aliyejitokeza kuwatetea wagonjwa isipokuwa Wanaharakati ambao hadi leo wana kesi na hakuna Mbunge anaye watetea.Leo hii Mwakyembe anaumwa lakini kuna jitihada za makala kumushauri aondoke ccm ili uchaguzi uitishwe wapate madaraka!Dkt Mwakyembe angalia sana watu wanataka ufe au uhame ccm ili wakae walitwaye jimbo lako.Kuna wagonjwa wawili Mby lakini Mwakyembe anaonekana yupo karibu kufa na ndiyo maana watu wananyemele jimbo.Hapa ni sawa na mwanaume mwenye wake wengi anapoumwa wake zake huwa wanakuwa karibu kutoa huduma kunyemelea mali.Jamani huu ni uawaji.
 
Hii kauli ya jimbo la fulani ..........?!$&)(;:/ hati miliki majimbo yamekuwa Kama mashamba AMA viwanja eti jimbo la Fulani aghh! sipendi
 
Back
Top Bottom