Wanasiasa wa Tanzania wanapohama Vyama mara kwa mara wanakuwa na malengo gani?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu sana. Sipati jibu iwapo hao wanajiita wanasiasa ni kweli wanasiasa au ndio hivyo watu wanatafuta mkate wao wa kila siku.

Utashangaa mwanasiasa anatoka CCM na kuhamia CHADEMA na kutoa kauli nzito dhidi ya CCM. Mwanachama huyo huyo anarejea tena CCM na kutoa kauli nzito dhidi ya CHADEMA, hapo ndipo nguvu zinaniishia.

Kwa hiyo tufahamishane, je mwanachama anaporejea na anapohamia anakuwa ni mwanachama wa aina gani katika ulingo wa siasa?
 
Nimekuwa nafuatilia siasa za Bongo Kwa muda mrefu sana.Sipati jibu iwapo hao wanajiita wanasiasa ni kweli wanasiasa au ndio hivyo watu wanatafuta mkate wao wa kila siku.Utashangaa mwanasiasa anatoka CCM Na kuhamia Chadema Na kutoa kauli nzito dhidi ya CCM.Mwanachama Huyo huyo anarejea tena CCM Na kutoa kauli nzito dhidi ya Chadema hapo ndipo nguvu zinaniishia.Kwa hiyo tufahamishane Je mwanachama anaporejea Na anapohamia anakuwa ni mwanachama wa aina gani ktk ulingo wa siasa?
Ukiona mwanasiasa katoka CCM na kuhamia CHADEMA na kisha kurejea CCM ujue huyo ni ng'ombe kasoro mkia.
 
Back
Top Bottom