Wanasiasa wa Afrika ni hatari kwa vijana

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,028
2,000
Nimefatilia sana mgogoro wa congo kinshasa nikaona hawa wana siasa wa kiafrica, sio wema kwa vijana
Kuna mwana siasa wa congo anaitwa, kisekedi huyu jamaa anaongoza chama kinaitwa, UDPS mwaka 1990 nilikua congo kibiashara, mda, mwingi nilikua huko nilikua na kuja bongo kumjulia hali wif kisha, narudi congo alisumbua sana mobutu yy na kenge wa dondo kwa kweli

Lakini kwenye mzozo huu wa sasa ambao kabila ameamua kwa maksudi kabisa kujiongezea mda wa kubaki madarakani kitu ambacho ni kosa, kabisa,
Huyu bwana kisekedi amekua na wafwasi wengi sana ndani, ya, congo lakini inapotokea vurugu tu yy hukimbia, ubelgiji au, belgium ndio anatolea sauti lake la kuamasisha, vijana waandamane wasimtambue kabila kama rais huku vijana wakiuawa na askari wa kabila
Ila yy yupozake, ulaya anastarehe, akia galia, tv
Na kuaacha, vijana, wa, congo wakiteseka kwa, kumfata mtu ambae anatoa matamshi ulaya
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Tatizo letu waafrika ni uoga tunashindwa kufahamu hata mataifa makubwa yalipitia huko hadi kuendelea mfano
England rev
Italian rev
Russian rev..
Mapinduzi ya uongozi na mifumo ni lazima kwa maendeleo ya taifa lolote la sivyo kutawaliwa kibeberu hakutoisha...
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,956
2,000
Wazungu wakisema waafrika sokwe nahamaki sana, lakini kwa haya wanayofanya viongozi wa afrika. Naona bora niridhike na wazungu kutwita monkeys.

Ndukiiiii
 
NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,028
2,000
Mara, nyingi vijana ndio hua mstari ws, mbele katika mapambano ya kudai haki ila watoto wa wana siasa wao utakuta, wapo nje ya nchi
 
tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,332
2,000
Nimefatilia sana mgogoro wa congo kinshasa nikaona hawa wana siasa wa kiafrica, sio wema kwa vijana
Kuna mwana siasa wa congo anaitwa, kisekedi huyu jamaa anaongoza chama kinaitwa, UDPS mwaka 1990 nilikua congo kibiashara, mda, mwingi nilikua huko nilikua na kuja bongo kumjulia hali wif kisha, narudi congo alisumbua sana mobutu yy na kenge wa dondo kwa kweli

Lakini kwenye mzozo huu wa sasa ambao kabila ameamua kwa maksudi kabisa kujiongezea mda wa kubaki madarakani kitu ambacho ni kosa, kabisa,
Huyu bwana kisekedi amekua na wafwasi wengi sana ndani, ya, congo lakini inapotokea vurugu tu yy hukimbia, ubelgiji au, belgium ndio anatolea sauti lake la kuamasisha, vijana waandamane wasimtambue kabila kama rais huku vijana wakiuawa na askari wa kabila
Ila yy yupozake, ulaya anastarehe, akia galia, tv
Na kuaacha, vijana, wa, congo wakiteseka kwa, kumfata mtu ambae anatoa matamshi ulaya
Ni uelewa wako tu mdogo. Hata vitani wanaotangulia mbele ni askar wadogo. Kamwe huji kumuona afisa wa juu jeshini akitangulia mbele kumpiga adui. Maana mpanga vita akiuawa jua na vita imeisha!!

Sasa kwa mfano mwanasiasa mkubwa kama huyu kisekedi akipigwa risasi nani atahamasisha mapinduzi??

Hivi umewahi kumwona rais wa nchi akienda front kupiga raia?? Nakukumbusha kiongozi mpinzani ni raisi wa wapinzani na amiri jeshi wao mkuu. Wafuasi wake ndio jeshi lake. Note it!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom