Wanasiasa , viongozi na wasomi kuweni mfano kwa vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa , viongozi na wasomi kuweni mfano kwa vitendo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Jan 20, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni wangapi tuko tayari

  • kupanga foleni benki na shemu nyingine kupata huduma kama wateja wengine

  • kuonekana tunedesha baiskeli japo siku moja kwa wiki kwenda kazini kuonyesha utunzaji wa mazingira na kuimarisha afya

  • Tumeshonesha japo suti moja au kuchongesha viatu kwa mafundi wa mtaani kukuza ajira

  • Kunafanya manunuzi ya mahitaji ya nyumbani kwenye local market badala ya mlimani city

  • Kuutumia usafiri wa jamii kama daladala japo mara moja kwa wiki japo wana magari binafsi aukutumia usaifir wa treni badala ya ndege.
  Hivi ni vitu vidogo vidogo sana lakini vinaweza kuleta mabadiliko makubwa sana.

  Mkurugunzi wa jiji au Prof XYZ wa UDSM akitumia daladala kwend ana kurudi kutoka nyumbani mara moja kwa wiki sitashangaa hata huduma zitazidi kuboreka.


  Nawaslisha.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hili wazo zuri
   
Loading...