Wanasiasa vijana wapagawa na mjengo wa Dr Mengi, wautamani tujiandae kuibiwa zaidi serikalini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,761
141,628
Vijana ambao ni viongozi wa kisiasa walipigwa na butwaa mara tu walipoingia katika mjengi wa rip Mengi.
Mmoja wao alisikika akisema " hii ndio nyumba binadamu anatakiwa aishi"

Nadhani baada ya msiba vijana watatoka na fikra mpya kuhusu makazi.....maana yanayofanyika Australia kumbe yamewezekana Machame.

Angalizo huko serikalini tuwe makini na watumishi wenye roho za tamaa maana watafisadi na kule CCM ndio kabisaaa.......tukizubaa tumekwisha.

Msione vyaelea vimeundwa!
 
Tembea uone
Mimi Nishaingia mjengo mmja huko mbweni ni kali knyama
Floor chini Kioo tupu huku samaki wakipita chini unawaona
Ila nyumba ya mengi nzri na kwa hadhi yke aliyokuwa nayo ni kawaida tu Kwake

Ova
 
Vijana ambao ni viongozi wa kisiasa walipigwa na butwaa mara tu walipoingia katika mjengi wa rip Mengi.
Mmoja wao alisikika akisema " hii ndio nyumba binadamu anatakiwa aishi"

Nadhani baada ya msiba vijana watatoka na fikra mpya kuhusu makazi.....maana yanayofanyika Australia kumbe yamewezekana Machame.

Angalizo huko serikalini tuwe makini na watumishi wenye roho za tamaa maana watafisadi na kule CCM ndio kabisaaa.......tukizubaa tumekwisha.

Msione vyaelea vimeundwa!

Sema wanasiasa vijana wa ccm, kwani wao ndio wako karibu na hazina na wameshajua jinsi ya kula na mzee baba kwa kumsifia.
 
Back
Top Bottom